Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Jana nilikuwa na gfriend kidogo tulienda outin
Wiki tatu zilizopita nilimuudhi kidogo
Gaflaa nkasema nipige simu yake analalamika haitoi sauti
Kupiga naona nimesaviwa
M23
Nkashtuka nkamuliza kwa ubaya gani umenipa jina kama hili
Mns kuna m24..m25...akaishia kusema sorry alikasirishwa
Sijui huko mwenzetu umeseviwa nani ..maana nilimshauri akikasirika zaidi andike hata mpesa tigopesa wakala
Majina hayoo sitakii...doh wakikasirika wanabadilisha hadi jina
Aiseeee..
Mahusianooo oyeeeee