Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

Manzile

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
701
Reaction score
1,900
Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.

Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa Bangaloo lake, alikuwa na uwezo na alijenga jumba la kifahari haswa na mafundi aliotumia aliniomba nimuunganishe wale walionijengea.

Nyumba ikiwa hatua za mwisho hii ilikuwa October 2012 jamaa akapotea, simu ikawa hazipokelewi baada ya mda hapatikani kabisa, Hakuna mtu anaejua alikuwa anakaa wapi, site tulizoea kumuona akiwa mwenyewe.

Na viwanja vilikuwa Bado havijapimwa kipindi hicho, hata Ardhi hamna detail zake.

Nyumba yenye thamani ya zaidi ya Tsh 300m inapotea pasipo ndugu kujua.

Kuna mwingine ni mwanajeshi mstaafu alinunua bonge la pori Goba - Dsm kipindi Cha zamani, Hakushirikisha familia japokuwa alikuwa na mke na watoto wakubwa sana.

Alimuachia mamlaka yote ya uangalizi wa eneo balozi wa ule mtaa, Mwaka Juzi alianza kuuza lile eneo lake baada ya kulipima, Kipindi hicho alikuwa anaumwa Yuko Nairobi, mimi nilipelekwa na Dalali nikiwa natafuta kiwanja. Unapitia Kwa Balozi unaongea akiwa Nairobi anakupa Account unalipa mnaandikisha na Balozi Kwa niaba yake, Yule Mzee sijui Nini kilimkuta alikuwa anauza viwanja Kwa bei ya chini sana sqm moja Kwa Goba alikuwa anauza Tsh 45,000/=

Nilinunua baadhi ya viwanja pale, na Bado ananidai 30m

Mwaka huu tumepata taarifa kafa nashindwa kuitafuta familia yake kuwaambia kwamba baba yao anaidai maana wanaweza kuanziaha mgogoro, Japo mke wake yupo na watoto wake.

Tulinunua maeneo Yale wote tulishabadilishq umiliki

Alikuwa na bonge la eneo hekari 10 zinafika, mjumbe kafaidi huku mke na watoto hawajui Chochote.

Wakuu tunapofanya maendeleo tujitahidi familia zijue hata kama Kuna ugomvi kiasi gani, basi kama sio mkeo Tafuta ndugu mnaoelewana waoneshe, Hatujui kesho yetu, Kuna Vifo vya ghafla.

Huyu Kwa asilimia kubwa atakuwa kashakufa. Nyumba nimebaki naipalilia Mimi Kwa sababu ni Jirani yangu ili isiwe sehemu ya kutumza wadudu. Raia wanajua ni yangu
 
Jina hulijui? Chukua namba yake nenda polisi kaombe kibali uende mtandao husika wa simu utafute jina la mmiliki halali wa zamani wa hiyo number hapo utapata urahisi wa kumfatufa na kujua ndugu na jamaa au hata mke na watoto wake.
 
Jamaa namjua Kwa jina moja tu Allen, 2012 enzi hizo nadhani kulikuwa hamna usajili wa NIDA, Ardhi ilikuwa suluhisho, Nako nimegonga mwamba viwanja vilikuwa havijapimwa
 
Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.

Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa Bangaloo lake, alikuwa na uwezo na alijenga jumba la kifahari haswa na mafundi aliotumia aliniomba nimuunganishe wale walionijengea.

Nyumba ikiwa hatua za mwisho hii ilikuwa October 2012 jamaa akapotea, simu ikawa hazipokelewi baada ya mda hapatikani kabisa, Hakuna mtu anaejua alikuwa anakaa wapi, site tulizoea kumuona akiwa mwenyewe.

Na viwanja vilikuwa Bado havijapimwa kipindi hicho, hata Ardhi hamna detail zake.

Nyumba yenye thamani ya zaidi ya Tsh 300m inapotea pasipo ndugu kujua.

Wakuu tunapofanya maendeleo tujitahidi familia zijue hata kama Kuna ugomvi kiasi gani, basi kama sio mkeo Tafuta ndugu mnaoelewana waoneshe, Hatujui kesho yetu, Kuna Vifo vya ghafla.

Huyu Kwa asilimia kubwa atakuwa kashakufa. Nyumba nimebaki naipalilia Mimi Kwa sababu ni Jirani yangu ili isiwe sehemu ya kutumza wadudu. Raia wanajua ni yangu
Hakuna namna kuu jimilikishe tu kwa tahadhari maana huwezi jua ya kesho na kesho kutwa
 
Iko wapi nije nije niimalizie niipagishe nione kama Ndugu hawatatokea?
 
Unaweza kuta yupo mambele uko arudi wakati amestaafu au ndo hizi abandoned house zinafugia mizimu
Hapana mkuu. Kaondoka mafundi wakiwa wanamdai na nikatoa Hela zangu zaidi ya 5m nikajua akija atarudisha. Mpaka Leo. Lazma angetoa taarifa.

Na Hardware alikuwa ashaweka uaminifu hivyo alikuwa anachukua vifaa anakuja kulipa hata baada ya wiki moja, Mwenye Hardware mpaka anaondoka Kuna deni la 16m
 
Back
Top Bottom