Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi ni shabiki Simba.Hivi Feisal asingekuwepo hiyo pasi Bocco angempa nani?
Ukujibu hili swali basi hajuna haja ya mii mada kuendelea
Hii ni timu ya Taifa ,mambo ya simba na Yanga hakunaNa hapa ndipo Kipimo halisi cha aina ya Wanamichezo (hasa wapenda Soka) wa Tanzania walivyo ukichanganya na Waandishi wa Habari na Watangazaji wa 'hovyo hovyo' tulionao Tanzania kwa sasa. Yaani Timu yetu ya Taifa Stars jana 'imejitutumua' na kutoka Sare na Tunisia badala ya Kuwapongeza Wachezaji wote 'Mijitu' leo kutwa inamjadili tu Mchezaji wa Yanga SC Faisal Salum.
Hivi huyo (huyu) Faisal Salum wenu bila 'Pasi' ya Kwanza iliyoanzia kwa Jonas Mkude na kumkuta John Boko na Kumpa Yeye 'pande' angefunga?
ni Ditram ndio alimwaga maji.Sio kwamba pasi ilitoka kwa Ditram, then Boko ndo ikafika kwa mfungaji?
Ni kweli... ila wajinga hawawezi kukosa.Hii ni timu ya Taifa ,mambo ya simba na Yanga hakuna
Wewe uliiacha lini?Umeanza bange lini?
Hujajibu swaliWewe uliiacha lini?
La kama Unabokolewa kweli au?Hujajibu swali
Ubokolewe Mara ngapi?La kama Unabokolewa kweli au?
Huyu mleta mada ndiye mwanzilishi wa hayo anayokemea Leo. Yeye ndiye aliyeanza kusema bila wachezaji wa Simba Tunisia ingeifunga Tanzania zaidi ya goli 5, lakini kwa vile kulikuwa na Nungunungu, Kambale na Konokono wa Simba ndo maana ikafungwa goli moja huko Tunis.Watanzania ni utopolo an wanafanya kutenganisha mambo tusem sio watanzania n wa simba na yanga ndo waliungana hivyo wangekua wanacheza kwakunyimana pas tunge pata hiyo sale!?
Kikubwa waache ujinga n team moja wamefanya kwa uwezo wao ulipofikia hivy 2
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Alishindwa kutulizaLile sio pande na wala pasi,bali ni control ya hovyo chumba na sebule.
Kumbuka ndo top striker mpaka sasa kwa TPL.Tazama vyema kwa mchezaji yeyote bora si U17 or U20 kama anaweza kupokea mpira ovyo vile.
Na yule ndio tunasema natural striker na upokeaji mpira ndio vile mkuu.
Pia ndio tunategemea mashindano ya klabu bingwa kwa upokeaji mpira huo basi mtani tutaona mengi.