Mnapohangaika 'Kumsifia' Mchezaji wenu Faisal Salum kumbukeni pia bila 'pande' la John Boko leo 'mngenuna' tu

Tuliwaambia nyie simba jitahidini kuzuia tusifungwe, suala la kufunga mabao mtuachie Sisi Yanga.
Yanga tukatekeleza ahadi ila simba na Manula wao wakatuangusha
 
Hivi Feisal asingekuwepo hiyo pasi Bocco angempa nani?
Ukujibu hili swali basi hajuna haja ya mii mada kuendelea
Mkuu mimi ni shabiki Simba.

Namkubali sana FEI TOTO hasa kwa Maamuzi ya haraka na ushapu wake uwanjani.. Tena huyu wa sasa naona ameanza kukomaa kwenye timu ya TAIFA tofauti na yule aliyeenda AFCON.

Ila tusipende ushabiki wa kitoto kama wako huu (ni AIBU) Ukute age yako ni 25+ HALAFU unatoa pumba humu.

Wengine wanasema mpira ulimgonga BOCCO , mara alishindwa kukontrol sawa.. Je huo mpira ungepitiliza bila kuguswa? ungeenda nje ukarudi wenyewe?

Washabiki wa Tunisia punguzeni kuhamahama.
 
Hii ni timu ya Taifa ,mambo ya simba na Yanga hakuna
 
Kuna mahali Kama Taifa tunakosea kwenye kuteua wachezaji wa Timu ya Taifa.

Kwa Sasa timu ya Taifa ni combination ya Simba na Yanga. Ndio maana haya yanatokea.
 
Huyu mleta mada ndiye mwanzilishi wa hayo anayokemea Leo. Yeye ndiye aliyeanza kusema bila wachezaji wa Simba Tunisia ingeifunga Tanzania zaidi ya goli 5, lakini kwa vile kulikuwa na Nungunungu, Kambale na Konokono wa Simba ndo maana ikafungwa goli moja huko Tunis.
Ukiunga mkono kitu kumbuka na chanzo.
 
Kumbuka ndo top striker mpaka sasa kwa TPL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…