Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa 🐸🐸 wameonewa.
Tayari 🐸🐸 mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.