Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Hata Kufika matuta Mwakarobo Junior ni kudra ya Mungu tu kajipangeni ndio maana MANARA alisema Utopoloni wenye akili ni wawili tu.Umesahau siye mwaka Jana tulifika matuta na Bingwa mtetezi wakati huo Wydad tena Kwa kuupiga mwingi,siyo Utopolo a.k.a Mwakarobo Junior ambaye kushindwa kufikisha hata average ya ball possession ya 50% katika mechi mbili ya Pretoria na DSM.hata Mungu haoendi acha waliowekeza wasonge mbele siyo takataka hizi za utopolo
Ni kweli wenye akili ni wawili....ila vipi huko mbumbumbu wote ..na unaandika umbumbumbu wako hapa...ficha huu ujinga..fichua hekima ....
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.

Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
ni kweli kabisa,japo tumeibiwa goli lakini upigaji wetu wa penati haukuwa makini,ni wazi wachezaji hawakuwa makini,ama hapakuwa na matayarisho ama wachezaji walikuwa,wametoka mchezoni
 
Hayo yote ni kwa sababu 🐸🐸 kawa Mwakarobo jr?

Sawa nipo na akili kisoda, Ila nakushauri tu ACHA UJINGA.
Ujue mtu mzima kuwa mbumbumbu haipendezi ...nami nakushauri acha umbumbumbu..umeandika umbumbumbu...najua wewe ni mbumbumbu sana tu ila punguza kuwa mbumbumbu
 
Hata Kufika matuta Mwakarobo Junior ni kudra ya Mungu tu kajipangeni ndio maana MANARA alisema Utopoloni wenye akili ni wawili tu.Umesahau siye mwaka Jana tulifika matuta na Bingwa mtetezi wakati huo Wydad tena Kwa kuupiga mwingi,siyo Utopolo a.k.a Mwakarobo Junior ambaye kashindwa kufikisha hata average ya ball possession ya 50% katika mechi mbili ya Pretoria na DSM.hata Mungu haoendi acha waliowekeza wasonge mbele siyo takataka hizi za utopolo
Ficha upumbavu.
Unadhani mamelody mchele mchele??
 
Mmeshhanza tabia zenu ugenini kulalamika bila sababu yasingi timu kama hz inafaa zibaki hukohuko uwanja wa fisi
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.

Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Wana hasira hao, matusi utayaoga aisee.
Kule wamekutana na Arajiga wa Mamelod, Arajiga wao wamemfungia huku nyumbani.
 
Back
Top Bottom