Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #21
Mpumbavu ni yule anayekaza fuvu kuwa kaonewa, aliopewa penati akashindwa kuutokomeza uonevu aliofanyiwa.Hahahahaha...ficha upumbavu wako ..fichua hekima yako...we ni mbumbumbu
Ni kweli wenye akili ni wawili....ila vipi huko mbumbumbu wote ..na unaandika umbumbumbu wako hapa...ficha huu ujinga..fichua hekima ....Hata Kufika matuta Mwakarobo Junior ni kudra ya Mungu tu kajipangeni ndio maana MANARA alisema Utopoloni wenye akili ni wawili tu.Umesahau siye mwaka Jana tulifika matuta na Bingwa mtetezi wakati huo Wydad tena Kwa kuupiga mwingi,siyo Utopolo a.k.a Mwakarobo Junior ambaye kushindwa kufikisha hata average ya ball possession ya 50% katika mechi mbili ya Pretoria na DSM.hata Mungu haoendi acha waliowekeza wasonge mbele siyo takataka hizi za utopolo
Bado unaonesha umbumbumbu wako ..aisee kaa kimya we mbumbumbu tuMpumbavu ni yule anayekaza fuvu kuwa kaonewa, aliopewa penati akashindwa kuutokomeza uonevu aliofanyiwa.
😂Huyo mbumbumbu utajichosha tu
Una akili kisoda sana...yaani watoto wako wakifuata hii akili ni hasara kwao na kwako
ni kweli kabisa,japo tumeibiwa goli lakini upigaji wetu wa penati haukuwa makini,ni wazi wachezaji hawakuwa makini,ama hapakuwa na matayarisho ama wachezaji walikuwa,wametoka mchezoniMnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.
Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Hayo yote ni kwa sababu 🐸🐸 kawa Mwakarobo jr?Una akili kisoda sana...yaani watoto wako wakifuata hii akili ni hasara kwao na kwako
Ujue mtu mzima kuwa mbumbumbu haipendezi ...nami nakushauri acha umbumbumbu..umeandika umbumbumbu...najua wewe ni mbumbumbu sana tu ila punguza kuwa mbumbumbuHayo yote ni kwa sababu 🐸🐸 kawa Mwakarobo jr?
Sawa nipo na akili kisoda, Ila nakushauri tu ACHA UJINGA.
Ficha upumbavu.Hata Kufika matuta Mwakarobo Junior ni kudra ya Mungu tu kajipangeni ndio maana MANARA alisema Utopoloni wenye akili ni wawili tu.Umesahau siye mwaka Jana tulifika matuta na Bingwa mtetezi wakati huo Wydad tena Kwa kuupiga mwingi,siyo Utopolo a.k.a Mwakarobo Junior ambaye kashindwa kufikisha hata average ya ball possession ya 50% katika mechi mbili ya Pretoria na DSM.hata Mungu haoendi acha waliowekeza wasonge mbele siyo takataka hizi za utopolo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati diarra ndo alitaka sana matuta na wakampatia.We fala hao mbwa wako hawakutakiwa wafike hatua ya matuta
Nenda wewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada kwa nn refa hakwenda kujiridhisha tu kwenye var hata kidogo .
Post memes babu mie nichekeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unajidhalilisha!
Hata kama ni ushabiki!
Sawa mie ni mbumbumbu, Ila nakushauri tu ACHA UJINGAUjue mtu mzima kuwa mbumbumbu haipendezi ...nami nakushauri acha umbumbumbu..umeandika umbumbumbu...najua wewe ni mbumbumbu sana tu ila punguza kuwa mbumbumbu
Kwa mbumbumbu km wewe ? We ni mbumbumbu wahedSawa mie ni mbumbumbu, Ila nakushauri tu ACHA UJINGA
Na walipompatia akashindwa kuyahimili 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati diarra ndo alitaka sana matuta na wakampatia.
Sawa amphibian.Kwa mbumbumbu km wewe ? We ni mbumbumbu wahed
Wana hasira hao, matusi utayaoga aisee.Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.
Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Halafu 🐸🐸pekee walianza kutolewa CAFCL.Kweli umbumbumbu upo na mbumbumbu wapo...Kolo ndio timu pekee 'imegongwa nje ndani ' zingatia neno kugongwa ...