Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
- Je, Taifa Lina mababa wawili?
- Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
- Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?