BabaLove
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 232
- 338
Kuna watu wanajisahaulisha sana utadhani tanzania ndo imepata uhuru miaka angalau sita ilopita. Mambo ya ajabu sana.Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
Naombeni tusaidiane majawabu
- Je, Taifa Lina mababa wawili?
- Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
- Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?