Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Baba wa taifa ndugu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, yeye na Nyerere wote poa. Nyerere aliipatia uhuru Tanganyika, Magufuli was a cornerstone kwa Tz kuelekea walipo nchi kama china na simgapore etc...ana nafasi yake kubwa sana ktk mabadiliko haya sababu kaweka msingi na standards...
habari ndio hiyo.
 
Naomba majina ya watangazaji mamluki waliothubutu kutamka hivyo
 
Baba wa taifa ndugu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, yeye na Nyerere wote poa. Nyerere aliipatia uhuru Tanganyika, Magufuli was a cornerstone kwa Tz kuelekea walipo nchi kama china na simgapore etc...ana nafasi yake kubwa sana ktk mabadiliko haya sababu kaweka msingi na standards...
habari ndio hiyo.
Basi Taifa letu Malaya, linakuwaje na mababa wawili?
 
Bujibuji kiboko ndio maana mimi hela za kwenye siasa sikuzitaka kabisa ni kama zimefungwa kwenye mkia wa chui bora niendelee kupiga spana tuu...mnahoji kila mguu Wazalendo
 
Nooooooooo that is not the Criteria used to determine that status. That’s why we have only one Baba wa Taifa.
any president is national father to his country
 
Elezea namna mfumo wako wa hewa ulivyoathirika baada ya hao watangazaji kumuita Baba wa Taifa?

Very minor issues mnazikuza kuwa major issues.

Kazi kweli kweli.
 
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Tuwavumilie tu watu wamekengeuka. Mwisho kesho, wakiiisha mfukia tuendelee na maisha yetu.
 
Back
Top Bottom