Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je Taifa Lina mababa wawili?
  • Je Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
John Magufuli sio baba wa Taifa
La baba wa madikteta wa huko ccm
 
Baada ya miezi 2 hakuna mtu atamtaja tena kwa mazuri, haya mazwazwa yanasifia tu muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…