Unaliwaga pesa ndo nmemaanisha hvyo[emoji1787]..ushawaza tofautiUnaanza kunivunjia adabu...unajua kitakachofuata
Utaijutia kauli hii ...k..e..i weweHahaa[emoji1787][emoji1787]...kwaiyo we unaliwaga tu
Sasa unafikiri hata hicho kidude chako hata ukinipa cha maana basi? Dakika chache nimesahau🤣Unaliwaga pesa ndo nmemaanisha hvyo[emoji1787]..ushawaza tofauti
[emoji17][emoji17]umewaza tofauti..nisamehe[emoji120]Utaijutia kauli hii ...k..e..i wewe
Nilipita wavuvi na dogo mmoja amezoea kelele za Tabata,doubleshots mbili za tequila ni Tsh28000n budweiser moja buku tisa.Dogo akachukua risiti akaniambia unaibiwa,nikamuuliza ntaibiwa vipi nimetumia kadi na inaonyesha bei OG.Akaniambia tumalize twende kitambaa cheupe, kufika nyomi yake kila sehemu ukikatiza unaguswa na makalio makubwa,nikajibebea limoja lilikuwa linavuta shisha aisee nililifaida.Kitambaa Cheupe was a fine place sio hio kanda ya ufukweni 🤣🤣🤣
Ulitukana[emoji17][emoji17]umewaza tofauti..nisamehe[emoji120]
dada angu kwenye moja na mbiliUkiamua kukaa na mimi mahali asee nisipangiwe cha kutumia. Uzuri mimi huwa nabeba muamala wangu incase hauko poa nalipa..na pia huwa nakuuliza kama uko njema au uko vibaya nimalize shoo...
Umenichokoza tuendelee ni siku nyingi sijasema nawe[emoji17][emoji17]umewaza tofauti..nisamehe[emoji120]
Duh noma kweli, sema wavuvi camp jamaa anapiga zake hela kinoma. 🤣🤣🤣Nilipita wavuvi na dogo mmoja amezoea kelele za Tabata,dobleshots mbili za tequila ni Tsh28000n budweiser moja buku tisa.Dogo akachukua risiti akaniambia unaibiwa,nikamuuliza ntaibiwa vipi nimetumia kadi na inaonyesha bei OG.Akaniambia tumalize twende kitambaa cheupe, kufika nyomi yake kila sehemu ukikatiza unaguswa na makalio makubwa,nikajibebea limoja lilikuwa linavuta shisha aisee nililifaida.
Yes hakika🤣H
hahaha sasa kumbe unazungumzia zama za pocket money 😀😀😀
Sio shida zetuudada angu kwenye moja na mbili
Huwezi sahau hapa ndo utatoa zaidi ya hyo 300k uliyotoa ukaambulia manyoyaSasa unafikiri hata hicho kidude chako hata ukinipa cha maana basi? Dakika chache nimesahau[emoji1787]
Alafu karata dume ndiyo nini?kwa sababu ukilipia bill na kadi pale wavuvi inaonyesha transaction imeenda karata dume.Duh noma kweli, sema wavuvi camp jamaa anapiga zake hela kinoma. 🤣🤣🤣
Sitaki uchokozi na wwUmenichokoza tuendelee ni siku nyingi sijasema nawe
Maza ndo wa huko kwenuHahahah kwahio we Mwana Lupaso kumbe 🤣🤣🤣! Sema jina hilo limekaa kinyumbani sana.
Nyoosha mikono juu sasaSitaki uchokozi na ww
Ulitumia sh ngapi boss? Na walikuwa wangapi?Ukimualika mtu sehemu ya 5star hakikisha mfuko wako umevimba...
Ukiona uko mbaya mualike kwenye grocery au usialike mtu kabisa.
Mialiko na masharti wapi na wapi? Lakini pia wabongo tunajistukia... Niliwahi waalika watu kwa ajili ya mazungumzo fulan kwenye hotel ya 3* nikawaweka huru kwamba wale chochote maana ile meeting ilikuwa yangu... Huwezi amini waliogopa wakanihurumia kwamba hawawezi kutokana na bei kuwa kubwa.
So mnapoita watu hakikisheni mifuko yenu imevimba la sivyo jibaneni wenyewe
Ni mfumo tu wameusajili kwa jina hilo.Alafu karata dume ndiyo nini?kwa sababu ukilipia bill na kadi pale wavuvi inaonyesha transaction imeenda karata dume.
WawiliUlitumia sh ngapi boss? Na walikuwa wangapi?