Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Kitambaa Cheupe was a fine place sio hio kanda ya ufukweni 🤣🤣🤣
Nilipita wavuvi na dogo mmoja amezoea kelele za Tabata,doubleshots mbili za tequila ni Tsh28000n budweiser moja buku tisa.Dogo akachukua risiti akaniambia unaibiwa,nikamuuliza ntaibiwa vipi nimetumia kadi na inaonyesha bei OG.Akaniambia tumalize twende kitambaa cheupe, kufika nyomi yake kila sehemu ukikatiza unaguswa na makalio makubwa,nikajibebea limoja lilikuwa linavuta shisha aisee nililifaida.
 
Ukiamua kukaa na mimi mahali asee nisipangiwe cha kutumia. Uzuri mimi huwa nabeba muamala wangu incase hauko poa nalipa..na pia huwa nakuuliza kama uko njema au uko vibaya nimalize shoo...
dada angu kwenye moja na mbili
 
Nilipita wavuvi na dogo mmoja amezoea kelele za Tabata,dobleshots mbili za tequila ni Tsh28000n budweiser moja buku tisa.Dogo akachukua risiti akaniambia unaibiwa,nikamuuliza ntaibiwa vipi nimetumia kadi na inaonyesha bei OG.Akaniambia tumalize twende kitambaa cheupe, kufika nyomi yake kila sehemu ukikatiza unaguswa na makalio makubwa,nikajibebea limoja lilikuwa linavuta shisha aisee nililifaida.
Duh noma kweli, sema wavuvi camp jamaa anapiga zake hela kinoma. 🤣🤣🤣
 
Ukimualika mtu sehemu ya 5star hakikisha mfuko wako umevimba...
Ukiona uko mbaya mualike kwenye grocery au usialike mtu kabisa.
Mialiko na masharti wapi na wapi? Lakini pia wabongo tunajistukia... Niliwahi waalika watu kwa ajili ya mazungumzo fulan kwenye hotel ya 3* nikawaweka huru kwamba wale chochote maana ile meeting ilikuwa yangu... Huwezi amini waliogopa wakanihurumia kwamba hawawezi kutokana na bei kuwa kubwa.

So mnapoita watu hakikisheni mifuko yenu imevimba la sivyo jibaneni wenyewe
Ulitumia sh ngapi boss? Na walikuwa wangapi?
 
Back
Top Bottom