Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi
Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijavunja kanuni sio mkuu?
Yes hii ndio tunatska kula kwa step[emoji16]
Daah kuna watu ukiwakaribisha wanachuna hadi ngozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kula kwa fujo
Safi sana
Daah kuna watu ukiwakaribisha wanachuna hadi ngozi
Mimi nauso wa aibu sana siwez jiachia kama mbwa wakati sijui kama atalipa au lah
Pole sana, siku nyingine usimtoe out...
Unaagiza kwa staha
Unavyopenda offa sasa khaaaah.Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi
Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijavunja kanuni sio mkuu?
Unavyopenda offa sasa khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]