Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

UKIONA MIFUKO IMELEPWETA USITOE OFA!
UJIPENDEKEZE MWENYEWE NA MISIFA YAKO HALAFU UJE JF UTUANZISHIE MADA!
🤣🤣🤣.Kuna mtoa ofa za misifa mwingine chupuchupu aibike
Mfukoni ana senti halafu anatamba kutoa ofa na mikauli mizitooo "AGIZENI CHOCHOTE"
Tumeagiza potion za seafood 2 na maji lita 1.5 tu jasho zikaanza mmwagika.
Hivi mnalazimishwa kutoa watu out na huku mifuko imenuna??
 
Uliza wanaonijua kwa kina, nikiamua kumdiss mtu huwa nahakikisha namvunjia heshima
Sawa vunja hiyo heshima Mimi nikutawanye kama fimbo ya Musa ngik lesiu loata njelele kumok , shipina lesiu , narubumenyee shomo oldia lesiu Miata onyoo kake itolimu marange waade shomo nguri esakutoni or 2023 shomo ngik kumuk eing'uk
 
Sawa vunja hiyo heshima Mimi nikutawanye kama fimbo ya Musa ngik lesiu loata njelele kumok , shipina lesiu , narubumenyee shomo oldia lesiu Miata onyoo kake itolimu marange waade shomo nguri esakutoni or 2023 shomo ngik kumuk eing'uk
Maneno yangu daily ni hazina, so siwezi yatawanya pasipo na ulazima
 
Yaani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.

Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.

Yaani nimetoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.

Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.

Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka Windock tena anabugia kwa sifa.
Malimbukeni ndio zesheni sana! Kila siku jitu linakunywa mirinda unalipa offer linaenda agiza desperado na lina bwia mpaka lina tapika , sio uharibifu huo
 
My brother Glenn kama ni kweli uko kama ulivyojielezea basi Mungu akubariki, hongera sana sana mkuu, napenda kuwa na marafiki kama nyie

Si kwa sababu ya hizo ofa sijui out bali ni kwa sababu ya hiyo kauli uliyosema, kwamba siyo kila mwanamke wewe lazima umle, na hii siyo mara ya kwanza nakuona uko against huu ulimbukeni

Kama sijakuelewa vibaya, basi umemaanisha kwamba wewe unaweza kuwa na urafiki na mwanamke bila kumla, so bila shaka una marafiki wa kike kibao ambao hujawala si ndio

Yani wanaume design yako mmebaki wachache, binafsi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume ila wengi huwa tunashindwana hapo tu, lazima tu atataka akuletee mambo ya kiwaki

Wana msemo wao eti hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke lazima tu mtakulana, sasa siyo kila mtu anafagilia hizo mambo, wengine tunapenda kuwa na washikaji tu na si vinginevyo

Mimi binafsi mwanaume ambaye ni rafiki yangu, na hajawahi nitongoza wala kuniomba ngono huwa namheshimu saaana yani saaana, kuliko wanaojifanya wanataka waonekane vidume

Kwanza wengine tukikutana na watu hatunaga mambo ya kichawa wala vizinga hata uwe na hela vipi, sisi wengine tunachohitajigi ni urafiki tu maana picha linaanza tuna sura za baba zetu halafu hatuna pigo za kisister du na pia tunajiweza kiaina, hivyo kutongozwa na kuhongwa kwetu siyo dili wala nini
Glenn namjua miaka 6 sasa nje ya jf kwa kweli ni rafiki mzuriii sana[emoji1635][emoji1787][emoji1787]
Swala la ngono akikutaka ye kama mwanaume lazima atake....lkn halazimishi kama hutaki hawezi kuacha kua rafiki yako sabbu umemkatalia..sema ana marafiki wa kike wengiiiii[emoji1787][emoji1787].nkajuaga anawakula wote kumbe sio(natania Glenn)

Anyway ni moja ya marafiki muhimu kwenye contact zangu habagui mtu

Glenn pls mu add huyu dada kwenye marafiki zako.
 
Daah wewe shemu mbona unanisagia kunguni? Lini nilimtaka shemeji yangu? Au ndio lile neno lako (unatania)?

Hata wewe ni bonge la rafiki na sijajuta kukufahamu.
Zodwa huyu Inna ni rafiki na mtani wangu bora kabisa.
Tinsley msome huyu mtani wangu, nakumbuka nilikwambia hana tatizo
Nimeona aisee ni jambo nzuri
 
Daah wewe shemu mbona unanisagia kunguni? Lini nilimtaka shemeji yangu? Au ndio lile neno lako (unatania)?

Hata wewe ni bonge la rafiki na sijajuta kukufahamu.
Zodwa huyu Inna ni rafiki na mtani wangu bora kabisa.
Tinsley msome huyu mtani wangu, nakumbuka nilikwambia hana tatizo
Umeanza lini kuniita shem akati dada angu ulishamwacha au kuna mchuchu humu unamkula nn ndo mana unajidefence maana ww hukosiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini unafikiri sikosi?
Kweli sina mtu humu...kama yupo ajitokeze tu ruksa.

Ni kweli dadako siko naye lkn unajua fika SINA DENI JUU YAKE na sina makosa nilitimiza wajibu wangu kwa uaminifu mkubwa...unalo?

Kwa hiyo jimbo lipo wazi tugombee?
 
Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi

Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijavunja kanuni sio mkuu?
 
Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi

Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijavunja kanuni sio mkuu?
Yes hii ndio tunatska kula kwa step😁
 
Back
Top Bottom