Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Now! We are talk negro! Karibu huna hasara wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe location kaka mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now! We are talk negro! Karibu huna hasara wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida mnakuja wengi kama kumbikumbi🤣🤣🤣Nipe location kaka mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Shida mnakuja wengi kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
U r a gentleman🚫🚫🚫WAUNGWANA NA WANA CHITCHAT WENZANGU🚫🚫🚫🚳
Mimi ndugu yenu Glenn leo naona nimeteleza.
NAomba nichukue fursa hii kuwaomba radhi watu wafuatao;
Pellaiah
Inna
Hawa dada zangu mara nyingi tunataniana sana tu lakini leo nahisi kuna kitu hakijaenda sawa.
DAda zangu naomba mniwie radhi najua kuna mahali sijawatendea haki kwa lugha niyotumia kuwa wajibu.
Sio uungwana kwa mwanaume kumkemea au kumuudhi mwanamke kwa namno yoyote ile hasa hasa hadharani.
Naomba radhi wanawake wote ambao kwa namna moja au nyingine wamekwazwa na kauli zangu za ukali kwa hao niliowataja;
Nakadori Joan S
Tinsley na wengine mliosoma hizo post 2.
Ninawaahidi kuwaheshimu siku zote na hili halitatokea teana.
Asanteni wote kwa uelewa
Unaonaje?Jinga sana wewe
Na wanaume kama makondoo mpo tu maana hayo ndo mambo mnapenda.
Thanks mkuu wa mkoa kwa kukemea naona sku hizi wanapiga vijora
Ni fahari ya macho ile kuangalia uumbaji. Si unajua sikuhizi Bongo unywamwezi mwingiii
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sahizi si nimeskia wanavaa vijora huko WavuviMi hata bar ya wanaovaa kilokole huwa nakuwa bored
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙉🙉Na wewe unapinga?
Mi napenda kweli haya mambo japo naeza kwenda club na baibui ila nikifika huko nikutane na wadada wale sexxxy
📌Huna hela unatoa offer za nini?
Hahahahaa dah! Nisamehe bure maana huwa ni mtu wa furaha all time, but to be honestly Glenn you have to give her a huge hug and the wonderful compan sometimes 🤣🤣🤣maana picha linaanza tuna sura za baba zetu halafu hatuna pigo za kisister du na pia tunajiweza kiaina, hivyo kutongozwa na kuhongwa kwetu siyo dili wala nini
Hapo sawa dah! Maana ni hatari miss Zodwa amejiliza kwelikweli 🤣🤣🤣Hug tayari nimempa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]My brother Glenn kama ni kweli uko kama ulivyojielezea basi Mungu akubariki, hongera sana sana mkuu, napenda kuwa na marafiki kama nyie
Si kwa sababu ya hizo ofa sijui out bali ni kwa sababu ya hiyo kauli uliyosema, kwamba siyo kila mwanamke wewe lazima umle, na hii siyo mara ya kwanza nakuona uko against huu ulimbukeni
Kama sijakuelewa vibaya, basi umemaanisha kwamba wewe unaweza kuwa na urafiki na mwanamke bila kumla, so bila shaka una marafiki wa kike kibao ambao hujawala si ndio
Yani wanaume design yako mmebaki wachache, binafsi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume ila wengi huwa tunashindwana hapo tu, lazima tu atataka akuletee mambo ya kiwaki
Wana msemo wao eti hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke lazima tu mtakulana, sasa siyo kila mtu anafagilia hizo mambo, wengine tunapenda kuwa na washikaji tu na si vinginevyo
Mimi binafsi mwanaume ambaye ni rafiki yangu, na hajawahi nitongoza wala kuniomba ngono huwa namheshimu saaana yani saaana, kuliko wanaojifanya wanataka waonekane vidume
Kwanza wengine tukikutana na watu hatunaga mambo ya kichawa wala vizinga hata uwe na hela vipi, sisi wengine tunachohitajigi ni urafiki tu maana picha linaanza tuna sura za baba zetu halafu hatuna pigo za kisister du na pia tunajiweza kiaina, hivyo kutongozwa na kuhongwa kwetu siyo dili wala nini
Sasa unacheka nini bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah! She spoke out her mind! And I think she needs some therapy treatments OR otherwise problems start from there tomboys and rude girls are going to rise up!Unamwonea binti huyu bure.
Kaongea tu kawaida mkuu.
Maisha ni haya haya mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko vizuri brother, bug up sanaSina cha kuongeza Zodwa
Mimi sio mkamilifu but nina kanuni zangu.
Katika utani woote ninaufanya hapa nina mipaka ya utani.
KUna watu wachache hapa jf wananifahamu fika nilivyo nje ya jf...ni marafiki zangu sana sana.
Kwanza mimi nikitoka mwanamke sipendi nijulikane labda wagundue wao kwa vyanzo vyao wenyewe.
Naona ni utoto kujisifia natoka na flani...ili iweje?
Pili siwezi kutamani kila mwanamke kwani nina vigezo vyangu vya kuingia kwenye uhusiano.
Tatu kama unavyoona kuna watu wamenizoea na tunataniana..ndivyo nilivyo nje ya jf.
Watu wasioujua ndani wangu huwa wanahisi mimi sijatulia lkn hapana hapana....nina marafiki wengi wanapenda kampani yangu lkn pia nina mipaka ya urafiki pamoja na maeneo ya kuchangamana.
Laiti ningejiachia nakiri ningekufa kitambo sana kwa maradhi lkn ashukuriwe Mungu amenipa self contral...nina mipaka katika mahusiano na urafiki.
Unafikiri ni rahisi?
Hapana ni jambo gumu sana.
Siku nikipata kibali nitaweka visa na mikasa ambayo nimepitia na ninapitia kwani wasichana nao wa (moyo)
Hapo kwenye mabano kuna somo refu
Mmmh bro...????Yah! She spoke out her mind! And I think she needs some therapy treatments OR otherwise problems start from there tomboys and rude girls are going to rise up!
Tumeanza ungwe hii lini bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko vizuri brother, bug up sana