Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Ujinga wa bier ni huu. Unaondoka zako peke yako unaagiza bia zako mbili. Kama uliweka dhamira unywe mbili, sasa ukiisaliti dhamira yako ukanywa tatu basi dhamira nayo ina revenge, payback tyme! Unajikuta unatoa simu mwenyewe mfukoni unatafta wana, ooy wewe fisi maji uko wapi? Umbwa wewe njoo unywe mbili, unatafta mwingine na mwingine na mwisho wa siku unajikuta meza ina watu kama saba imetapika vyupa huku mlipaji ukiwa ni wewe. Pesa yako inakusaliti. Hukomi, siku ingine unarudia upuuzi ule ule, i quit
Yaani hapo kama unaniona mbwa mimi.
 
Mhh sio rahisi kihivyo ukiwa kwenye angle flan
We unaona hadi mke wa afande kaharibu huko mwanza mchezoo
Mke wa afande alinogewa 😀 hakula muwa kwa afya mwisho wake ni balaa.
Will take care of that.
 
Hahaha kufwata mkumbo kwamba kwa kuwa flan anatoa dem wake nje na wewe yako..
Mbaya sana
Ukimtoa wako out na mm namtoa wangu out
Mwisho wa siku anakuja kuliaaa.
Aje tuuliza wale wabishi wa kitambo.
Tulikuwa tunampeleka mdada koko ya enzi zike haina pombe wala msosi yan atalambalamba vile vyakula vya kulamba vya kaka baresa ambavyo havifiki hata elfu 5 then tunarudi then nae anakuwa kafurahi
 
I can control myself ila kuna mahal hata mm nasema leo nguruwe njoo mkuki upo 🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahah huwa kuna siku you cant resist the pleasure😍 Oh Lord have mercy!!!
 
Ukimtoa wako out na mm namtoa wangu out
Mwisho wa siku anakuja kuliaaa.
Aje tuuliza wale wabishi wa kitambo.
Tulikuwa tunampeleka mdada koko ya enzi zike haina pombe wala msosi yan atalambalamba vile vyakula vya kulamba vya kaka baresa ambavyo havifiki hata elfu 5 then tunarudi then nae anakuwa kafurahi
Kuiga kubaya asee
 
Umeanza kufuta ee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaitwa uzunguni we faller
We faller mwenyew[emoji1787]...si umenkaushia xmass ukajua nakuja kula 300k,.....kumbe maskini hata soda ya buku simalizi
 
Back
Top Bottom