Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

[emoji1787]
 
Umeongea ukweli mchungu
 
Sasa bila hela unamualikaje mtu huku ukijua wewe ndo unalipa? ATAFUTE HELA ILI APUNGUZE VIFUATAVYO;
1. Malalamiko
2. Kujieleza
3. Hofu ya kualika watu
4. KUpangia watu vitu vya kuwanunulia
Mkuu hapo ulipo najua una pesa.
Unaonaje umwalike mtu lkn akija achukue BUMBU RUM 3@110,000=330,000
Hivyo ni vinywaji tu ni sawa?

Tuongee uhalisia tusijifiche nyuma ya keyboard😂😂😂😂😂
 
Yeah walikuwa na huruma lakini kwa upande wangu sikujiskia vizuri maana nilijiandaa kwa lolote.
 
😬😬😬😬Nilienda na pisi Moja mimi nakula chips kavu yenyewe ikaagz chips kuku. Back n days lakini
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamesahau kuna kuachiwa bili ya henesy oh
 
Binafsi kama ukinitoa ofa huwa naenda na pesa yangu kuondoa fedhea ndogo ndogo

Cha pili naagiza kitu ambacho sijawai tumia yaan

Tatu kama sina ata 10000 sitoki ukinifosi nakutia hasara
 
Kuna mambo ya kuzingatia unapotoka out na mtu.

1. Umealikwa au umealika? Unaalika mtu then unataka yeye ndio afanye ku-clear bills?
2. Kama ni mtu wako kuwa wazi kwake, kwani shida gani kumwambia gf wako leo siko poa sana, kama yupo after your pocket ndio itajulikana.
3. Usitoke out bila pesa, uwe umealikwa au umealika. Hapa mjini unaweza kuadhirika vibaya.
4. Kama umealikwa kuwa muungwana, kuna mtu anakualika sio kwa vile ana pesa siku hiyo, huenda he/she is missing you, anatamani mkae mahali muongee na kula/kunywa kidogo. Sasa mwenzangu unakuwa na uroho wa kula na kunywa vya gharama.
5. Wale mnaopenda 50/50 basi huo ndio wakati wenu, unasikia "nitalipia vinywaji, wewe lipia misosi".

Mambo ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…