Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ndugu chizcom , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu za ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
View attachment 2476220
[emoji1787]
 
Ujinga wa bier ni huu. Unaondoka zako peke yako unaagiza bia zako mbili. Kama uliweka dhamira unywe mbili, sasa ukiisaliti dhamira yako ukanywa tatu basi dhamira nayo ina revenge, payback tyme! Unajikuta unatoa simu mwenyewe mfukoni unatafta wana, ooy wewe fisi maji uko wapi? Umbwa wewe njoo unywe mbili, unatafta mwingine na mwingine na mwisho wa siku unajikuta meza ina watu kama saba imetapika vyupa huku mlipaji ukiwa ni wewe. Pesa yako inakusaliti. Hukomi, siku ingine unarudia upuuzi ule ule, i quit
Umeongea ukweli mchungu
 
Sasa bila hela unamualikaje mtu huku ukijua wewe ndo unalipa? ATAFUTE HELA ILI APUNGUZE VIFUATAVYO;
1. Malalamiko
2. Kujieleza
3. Hofu ya kualika watu
4. KUpangia watu vitu vya kuwanunulia
Mkuu hapo ulipo najua una pesa.
Unaonaje umwalike mtu lkn akija achukue BUMBU RUM 3@110,000=330,000
Hivyo ni vinywaji tu ni sawa?

Tuongee uhalisia tusijifiche nyuma ya keyboard😂😂😂😂😂
 
Watu wako walikuwa wastaarabu sana.
Mimi nilimwalika ntu kwa mara ya kwanza tu ili tufahamiane na tulikuwa na jambo tungelifanya pamoja.

Huwezi amini alibadili hotel akapendekeza pengine na huko hadi tunamaliza mazungumzo alikata vitu vya more than 300k 😂😂😂

Kama ningekua nimekaa kiboya ningeaibika sema sikuwa mchovu
Yeah walikuwa na huruma lakini kwa upande wangu sikujiskia vizuri maana nilijiandaa kwa lolote.
 
Yani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.

Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.

Yani ni metoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.

Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.

Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka windock tena anabugia kwa sifa.
😬😬😬😬Nilienda na pisi Moja mimi nakula chips kavu yenyewe ikaagz chips kuku. Back n days lakini
 
Yani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.

Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.

Yani ni metoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.

Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.

Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka windock tena anabugia kwa sifa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamesahau kuna kuachiwa bili ya henesy oh
 
Binafsi kama ukinitoa ofa huwa naenda na pesa yangu kuondoa fedhea ndogo ndogo

Cha pili naagiza kitu ambacho sijawai tumia yaan

Tatu kama sina ata 10000 sitoki ukinifosi nakutia hasara
 
Kuna mambo ya kuzingatia unapotoka out na mtu.

1. Umealikwa au umealika? Unaalika mtu then unataka yeye ndio afanye ku-clear bills?
2. Kama ni mtu wako kuwa wazi kwake, kwani shida gani kumwambia gf wako leo siko poa sana, kama yupo after your pocket ndio itajulikana.
3. Usitoke out bila pesa, uwe umealikwa au umealika. Hapa mjini unaweza kuadhirika vibaya.
4. Kama umealikwa kuwa muungwana, kuna mtu anakualika sio kwa vile ana pesa siku hiyo, huenda he/she is missing you, anatamani mkae mahali muongee na kula/kunywa kidogo. Sasa mwenzangu unakuwa na uroho wa kula na kunywa vya gharama.
5. Wale mnaopenda 50/50 basi huo ndio wakati wenu, unasikia "nitalipia vinywaji, wewe lipia misosi".

Mambo ni mengi.
 
Back
Top Bottom