Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Kumbeeeeeee me nlijuaga mnakulaga wote

Na kumbuka kuna ile team wakomoaji....ameitwa yeye ila atabeba na shoga zake kama 2 ...na wote wamepania kukuonyesha namna wanawake wa daslamu walivyo
Kwa taarifa yako ikiwa nimekualika ukaja na watu ujue ukifika tu nakuaga kuondoka.
Hili utalifanya kama nimekuruhusu...vinginevyo usije.

Ishu sio gharama bali sipendagi jam za kijinga
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yes....ikiwa huna hata 200k eti nawe unaita mrembo utoke naye utaaibika tu, we nawa miguu panda kitandani jifunike blanket zito likuliwaze tu...huku ukijipiga kifua kuwa mimi ni faler🤣🤣🤣
 
Yes....ikiwa huna hata 200k eti nawe unaita mrembo utoke naye utaaibika tu, we nawa miguu panda kitandani jifunike blanket zito likuliwaze tu
Ushauri mzito sana...kwa kuongezea afungue jf jukwaa la siasa asindikizie usingizi
 
Kwa taarifa yako ikiwa nimekualika ukaja na watu ujue ukifika tu nakuaga kuondoka.
Hili utalifanya kama nimekuruhusu...vinginevyo usije.

Ishu sio gharama bali sipendagi jam za kijinga
Sio ustaarabu kabisa
 
Sio ustaarabu kabisa
Tunakutana na mengi.
Mabinti mnamakusudi sana.
Mkiitwaga mtoke out kama huwa unakunywa savanna 2 au 3...siku hiyo utaagiza Jamason 4 au jack daniel 2 ili kukomoa.

Hujui huyo kesho aweza kuwa mmeo na unaanza kuyakomoa matofali ya nyumba yenu ijayo🤣🤣🤣
 
Waoaji wenyewe mpooo?? Imebaki kukomoana tu. Kwenye wanaume 50 waoaji wenye commitment na ndoa zao 3
 
Back
Top Bottom