Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..

Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.

Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya kujipendekeza.

Mnazima intrnet matokeo yake hasara kwa nchi. Watu wanashindwa kutuma hela Mtandaoni, Systems zote zinazofanya kazi zinashindwa, hata ulinzi na usalama inakuwa mdogo sababu Wananchi wanakosa jinsi ya kuwafikia Viongozi wqo wanaopattikana Mitandaoni.

Mizigo bandarini haitoki kwa wakati sababu ya system down kwa ukosefu wa internet.

Wati wanashindwa kununua tileti.

Yote hayo hayafanyiki kisa tu CHADEMA wsiweze kupashana habaro. Lakini mwisho wa siku Wanaccm na wasio na vyama ndo wanaumia.

CHADEMA tayari kila mtu ana mbinu ya kupata anachokitaka Mtandaoni.

Wana ccm wanahaha. Eti Figganigga, nifundishe kutumia VPN.. Yaani kama Mazwazwa🤣🤣🤣🤣
 
Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social media
 
Unamanisha nini? Sijakuelewa. Hii ni vpn ya simu sio Vocha
Ndio nimekuelewa yaani VPN ili iweze ku run lazima uwashe data sasa ina support mtandao gani mfano ha tunnel ilikua Airtel,wire tun ilikua tigo , thunder ilikua Halotel zote zimekua blocked sasa hiyo šŸ‘† UFO ni mtandao gani ina support
 
Kwani umetumia mtandao gani ikagoma?
 
Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social media
Tatizo mnajifungia huko kuweni karibu na watu muhimu kwenye Taifa sio kusifia kichawa huku wao ndo wananeemeka sana , watu tunajua umuhimu wa karibu na mtu muhimu kama Maria Sarungi, kuna kipindi alishusha mzigo wa VPN moja hivi , kila GB zikipungua kwa ajili ya kuitumia ,zinajidabo zenyewe .

Vpn za bure zipo nyingi ila utakoma na matangazo
 
Sasaivi VPN zipo blocked
 
Back
Top Bottom