figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social mediaNashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..
Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.
Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya kujipendekeza.
Mnazima intrnet matokeo yake hasara kwa nchi. Watu wanashindwa kutuma hela Mtandaoni, Systems zote zinazofanya kazi zinashindwa, hata ulinzi na usalama inakuwa mdogo sababu Wananchi wanakosa jinsi ya kuwafikia Viongozi wqo wanaopattikana Mitandaoni.
Mizigo bandarini haitoki kwa wakati sababu ya system down kwa ukosefu wa internet.
Wati wanashindwa kununua tileti.
Yote hayo hayafanyiki kisa tu CHADEMA wsiweze kupashana habaro. Lakini mwisho wa siku Wanaccm na wasio na vyama ndo wanaumia.
CHADEMA tayari kila mtu ana mbinu ya kupata anachokitaka Mtandaoni.
Wana ccm wanahaha. Eti Figganigga, nifundishe kutumia VPN.. Yaani kama Mazwazwa🤣🤣🤣🤣
Kuna mamia ya VPN za bure. Kwa wale wanaotumia android, Mojawapo ni hii👇Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social media
Ina support mtandao ganiKuna mamia ya VPN za bure. Kwa wale wanaotumia android, Mojawapo ni hii👇
UFO VPN : Fastest Secure Proxy - Apps on Google Play
One-Tap Connection, No Registration Needed,Fast VPN Proxy, Unlimited Bandwidth.play.google.com
Unamanisha nini? Sijakuelewa. Hii ni vpn ya simu sio VochaIna support mtandao gani
Ndio nimekuelewa yaani VPN ili iweze ku run lazima uwashe data sasa ina support mtandao gani mfano ha tunnel ilikua Airtel,wire tun ilikua tigo , thunder ilikua Halotel zote zimekua blocked sasa hiyo 👆 UFO ni mtandao gani ina supportUnamanisha nini? Sijakuelewa. Hii ni vpn ya simu sio Vocha
Kwani umetumia mtandao gani ikagoma?Ndio nimekuelewa yaani VPN ili iweze ku run lazima uwashe data sasa ina support mtandao gani mfano ha tunnel ilikua Airtel,wire tun ilikua tigo , thunder ilikua Halotel zote zimekua blocked sasa hiyo 👆 UFO ni mtandao gani ina support
Heehehehe we jamaa bwanaBado wanapumua kaka.
Piga kichwani😁😁
VodaKwani umetumia mtandao gani ikagoma?
Jana ilichukua muda mrefu sana mtandao kukaa sawa. Au ni Internet tu na matatizo yake?Kwani umetumia mtandao gani ikagoma?
Tatizo mnajifungia huko kuweni karibu na watu muhimu kwenye Taifa sio kusifia kichawa huku wao ndo wananeemeka sana , watu tunajua umuhimu wa karibu na mtu muhimu kama Maria Sarungi, kuna kipindi alishusha mzigo wa VPN moja hivi , kila GB zikipungua kwa ajili ya kuitumia ,zinajidabo zenyewe .Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social media
Sasaivi VPN zipo blockedTatizo mnajifungia huko kuweni karibu na watu muhimu kwenye Taifa sio kusifia kichawa huku wao ndo wananeemeka sana , watu tunajua umuhimu wa karibu na mtu muhimu kama Maria Sarungi, kuna kipindi alishusha mzigo wa VPN moja hivi , kila GB zikipungua kwa ajili ya kuitumia ,zinajidabo zenyewe .
Vpn za bure zipo nyingi ila utakoma na matangazo
WatajijuaSasaivi VPN zipo blocked
Hiyo niloweka hapo juu nayo ipo blocked kwako?Sasaivi VPN zipo blocked