Ni wakati wao kuenjoy lakini yana mwisho.Kukitokea kashfa ya kweli maana ni kweli sio makusudi mnacho kifanya.
Ilitokea risiti ya TRA ya abdul karibia mabilioni ya manunuzi ,watu walipo tangaza tu mkafunga mfumo wa kujua utambuzi TIN na malipo ya muhusika.
Na mpaka bungeni mshawahi kufanya hivyo.
Sasa hivi mumefanya kila sehemu ambayo uwezi kujua plate number ya gari,Bima jina lake,ardhi usajili,kampuni na n.k.
Kwa kashfa za viongozi kupata taarifa ndio mnaona mnawalinda.
Wasioshiriki kazi maalum nyeti za kitaifa ni wengi kuliko wanaoshiriki, kwahio wanaoshiriki wanakula keki ya taifa waache kulalamika.Tumetoka huko comrade!
Badala ya kujenga taifa Sasa tunajenga majina ya watu na uchumi binafsi!
Kama taifa tupo tayari kupata hasara ili kulinda status za mwanasiasa mkubwa au kikundi Fulani Cha watu hata kama taifa linapata hasara!!
Hii inatokana na kuwekeza mapesa mengi kwennye siasa kuliko weledi !!
Leo vijana wanaumia kwenye kazi maalum nyeti za kitaifa Kwa ujira mwiha ambao mbunge anaupata Kwa vikao vitatu kama possho ya kikao!lakini mtumishi anafanya KAZI Kwa wiki tatu Hadi mwezi mzima Kwa ujira kidogo Tena kazi kubwa nyeti yenye kuamua hatma ya taifa hili!!
Diaspointed kato!!
Sikupingi kwenye maoni ya kuwa pesa nyingi zaidi imewekezwa kwenye siasaTumetoka huko comrade!
Badala ya kujenga taifa Sasa tunajenga majina ya watu na uchumi binafsi!
Kama taifa tupo tayari kupata hasara ili kulinda status za mwanasiasa mkubwa au kikundi Fulani Cha watu hata kama taifa linapata hasara!!
Hii inatokana na kuwekeza mapesa mengi kwennye siasa kuliko weledi !!
Leo vijana wanaumia kwenye kazi maalum nyeti za kitaifa Kwa ujira mwiha ambao mbunge anaupata Kwa vikao vitatu kama possho ya kikao!lakini mtumishi anafanya KAZI Kwa wiki tatu Hadi mwezi mzima Kwa ujira kidogo Tena kazi kubwa nyeti yenye kuamua hatma ya taifa hili!!
Diaspointed kato!!
Kuna mwananchi Na Raia, kuwa mwananchi Ni Bata,omba usiwe Raia🥺🥺Tumetoka huko comrade!
Badala ya kujenga taifa Sasa tunajenga majina ya watu na uchumi binafsi!
Kama taifa tupo tayari kupata hasara ili kulinda status za mwanasiasa mkubwa au kikundi Fulani Cha watu hata kama taifa linapata hasara!!
Hii inatokana na kuwekeza mapesa mengi kwennye siasa kuliko weledi !!
Leo vijana wanaumia kwenye kazi maalum nyeti za kitaifa Kwa ujira mwiha ambao mbunge anaupata Kwa vikao vitatu kama possho ya kikao!lakini mtumishi anafanya KAZI Kwa wiki tatu Hadi mwezi mzima Kwa ujira kidogo Tena kazi kubwa nyeti yenye kuamua hatma ya taifa hili!!
Diaspointed kato!!
Uwe unatumia hata one week kupandisha Uzi na sio kwa siku unaweka nyuzi 10 na zote ni pumba tupu.