Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,663
- 9,335
Hata samuya alisema hivoHiyo AI mkuu
Hata samuya alisema hivoHiyo AI mkuu
Kilichobakia hivi sasa ni hadi wafiche nyuso zao!Kukitokea kashfa ya kweli maana ni kweli sio makusudi mnacho kifanya.
Ilitokea risiti ya TRA ya abdul karibia mabilioni ya manunuzi ,watu walipo tangaza tu mkafunga mfumo wa kujua utambuzi TIN na malipo ya muhusika.
Na mpaka bungeni mshawahi kufanya hivyo.
Sasa hivi mumefanya kila sehemu ambayo uwezi kujua plate number ya gari,Bima jina lake,ardhi usajili,kampuni na n.k.
Kwa kashfa za viongozi kupata taarifa ndio mnaona mnawalinda.
Context sio malalamiko!Wasioshiriki kazi maalum nyeti za kitaifa ni wengi kuliko wanaoshiriki, kwahio wanaoshiriki wanakula keki ya taifa waache kulalamika.