Mnapozuia mifumo tusipate taarifa, mnamlinda nani?

Kilichobakia hivi sasa ni hadi wafiche nyuso zao!
 
Wasioshiriki kazi maalum nyeti za kitaifa ni wengi kuliko wanaoshiriki, kwahio wanaoshiriki wanakula keki ya taifa waache kulalamika.
Context sio malalamiko!
Context ni uweledi vs uanasiasa UPI una tija kwa maendeleo ya taifa!!?

Kule uingereza siasa hufanywa na wliostaafu kwenye ueledi wao kama madaktari n.k na malipo yao ni kidogo kuliko ueledi kwenye utumishi wa umma!!

Ueledi ni everyday life,siasa ni za mpito TU Tena vikao vya msimu huwezi lipa mapesa meengi kuliko utumishi wa kila siku wa maisha yote!!

Utumishi ndio hugusa raia na kuchochea uchumi wa taifa kuliko siasa!!

Nadhani umenielewa!

Profesa was utafiti was mbegu pale SUA au botany mwenye kugusa uzalishaji wa Moja Kwa Moja anapaswa kilipwa parefu kuliko kikao Cha mwanasiasa kama ilivyo!!

MFUMO UNAOTUKUZA SIASA KULIKO UZALISHAJI NA UELEDI NI MFUMO UNAOZALISHA UMASKINI NCHINI!!

NADHANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…