Laiguanan Senior Member Joined Jul 31, 2018 Posts 115 Reaction score 184 Aug 3, 2018 #21 Sky Eclat said: Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita. Click to expand... Huku kwetu tunakula visivyoliwa mkuu.
Sky Eclat said: Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita. Click to expand... Huku kwetu tunakula visivyoliwa mkuu.
HB wa kigogo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 2,487 Reaction score 6,250 Aug 3, 2018 #22 Hii formula nzuri sana kwenye one love.