Mnasema mapenzi yanauma? Hivi umewahi poteza pesa ya mkopo ukaona maumivu yake?

Mnasema mapenzi yanauma? Hivi umewahi poteza pesa ya mkopo ukaona maumivu yake?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa?

Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi Dunia haikupendi. Kumbuka changamoto uliyokopea pesa ipo, inakuchanganya, haijatatulika na pesa uliyokopa imepotea unabaki na deni.

Yooooo! Unaweza lia Kihaya na huku huijui lugha hiyo!
 
Vyote vinauma mzee, we ushawahi achwa afu demu akaenda kwa mshkaji uliemzidi parameter nyingi za kimaisha?
Kakuzidi mahali ndiomaana umeachwa, hawa viumbe huangalia vitu hata vidogo vidogo ambavyo wewe huna mwingine anavyo, huenda hujui kudance😁, hujui kubembeleza, hujui mambo mengine ya hovyo ambayo kwake ni muhimu.

Anyway ukiwa sirias vyote unaweza kuvirudisha on time
 
Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili ukajua namna maumivu huwa?

Kama bado usiombe likukue maana maumivu yake unaweza hisi Dunia haikupendi, kumbuka changamoto uliyokopea pesa ipo inakuchanganya haijatatulika na pesa uliyokopa imepotea unabaki na deni.

Yooooo Unaweza lia kihaya na huku huijui lugha hiyo,
Mapenzi yanauma ukiwa kijana mdogo lakini ukifika 45+ hayaumi mm nawaza pesa zaidi.
 
Aisee vyote vinauma Kuna wakati nilimfukuza wife aende kwao nikawa nahisi huko kwao anatobwa kila siku kumbe maskini ni wivu tu.
😹😹😹 We kweli mwehu..!!
Sasa ulibeep vya nini km huna moyo mgumu??

Na huko kwao alikuwa anagongwa kweli..!! 😹
 
😹😹😹 We kweli mwehu..!!
Sasa ulibeep vya nini km huna moyo mgumu??

Na huko kwao alikuwa anagongwa kweli..!! 😹
Tumuache Kwani Amemuumba Yeye...??ALafu Wala Haing'ooki Ile,Iko Pale Pale NamaUshubwada Yake Vilevile....
 
Yule manzi aliponiacha nilitaman hata waniue nili nimsahau kaz hazifanyiki mawazo muda wote namuwaza yeye itajuwa alinirogaa
 
Back
Top Bottom