Kakuzidi mahali ndiomaana umeachwa, hawa viumbe huangalia vitu hata vidogo vidogo ambavyo wewe huna mwingine anavyo, huenda hujui kudance๐, hujui kubembeleza, hujui mambo mengine ya hovyo ambayo kwake ni muhimu.Vyote vinauma mzee, we ushawahi achwa afu demu akaenda kwa mshkaji uliemzidi parameter nyingi za kimaisha?
Unafukuza mtu halafu bado unamuonea wivu?Aisee vyote vinauma Kuna wakati nilimfukuza wife aende kwao nikawa nahisi huko kwao anatobwa kila siku kumbe maskini ni wivu tu.
Na mkopo wenyewe unaenda kulipa mahakamani mbele ya polisi utajinyea?Yooooo Unaweza lia kihaya na huku huijui lugha hiyo,
Mapenzi yanauma ukiwa kijana mdogo lakini ukifika 45+ hayaumi mm nawaza pesa zaidi.Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili ukajua namna maumivu huwa?
Kama bado usiombe likukue maana maumivu yake unaweza hisi Dunia haikupendi, kumbuka changamoto uliyokopea pesa ipo inakuchanganya haijatatulika na pesa uliyokopa imepotea unabaki na deni.
Yooooo Unaweza lia kihaya na huku huijui lugha hiyo,
Maana huko ushafanya sana mapenzi na ukapiga heart trick za kutoshaMapenzi yanauma ukiwa kijana mdogo lakini ukifika 45+ hayaumi mm nawaza pesa zaidi.
Eti mapenzi yanatesa, hivi ushawahi kuchunga mbuzi wewe?
Mbuzi yupi huyu tunaemlipia. Mahari? Kumchunga ni kazi sana wewe unafikiri ni rahisi?Eti mapenzi yanatesa, hivi ushawahi kuchunga mbuzi wewe?
Ni ngumu sanaMbuzi yupi huyu tunaemlipia. Mahari? Kumchunga ni kazi sana wewe unafikiri ni rahisi?
๐น๐น๐น We kweli mwehu..!!Aisee vyote vinauma Kuna wakati nilimfukuza wife aende kwao nikawa nahisi huko kwao anatobwa kila siku kumbe maskini ni wivu tu.
Tumuache Kwani Amemuumba Yeye...??ALafu Wala Haing'ooki Ile,Iko Pale Pale NamaUshubwada Yake Vilevile....๐น๐น๐น We kweli mwehu..!!
Sasa ulibeep vya nini km huna moyo mgumu??
Na huko kwao alikuwa anagongwa kweli..!! ๐น