Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.

Sasa wakikutana na no brainer kama mimi namchota kabisa kama simuoni vile.

Msichanganye confidence na kiburi
Msichangnaye confidence na dharau
Msichanganye confidence na kisirani
 
Utasikia heee weeh kaka kwani hunioni au??
 
This is very true because I can
remember one day I went back to the
village and my grandfather told me
that grandson, no matter how useless
your comment is, there will be
someone who will read it till the end.
Screenshot_20250227_225404.jpg
 
Huchanganya pale mnaposema mnayapenda, kumbe hamjamaanisha kama mnayataka.

Hufikiri mwanaume hawezi kuishi bila msambwanda.

Wakielewa kwanini pale singida wanafuga na kula punda, halafu hao hao Wanyiramba na Wanyaturu huenda porini kuwatazama tu pundamilia, basi, wataacha hiyo arrogance.
 
Back
Top Bottom