Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.

Sasa wakikutana na no brainer kama mimi namchota kabisa kama simuoni vile.

Msichanganye confidence na kiburi
Msichangnaye confidence na dharau
Msichanganye confidence na kisirani
Halafu wakiingia viwanja wanajiona basi wana haki wa kugharamiwa kila kitu bure. Siku moja nipo viwanja nimepiga msosi kwanza ndo nianze kumwagilia moyo. Muhudumu wa msosi kanirudishia chenchi sasa kwa sababu bado nipo nikaiacha tu ile hela mezani.

Limwanamke limoja limekuja pale mezani na matako yake eti anachukua hela yangu anunue bia., nilimpiga jicho kali sana nikamwbbia rudisha hela mezani., akazuga kujichekesha chekesha akanunua bia kwa hela yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom