Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

Halafu wakiingia viwanja wanajiona basi wana haki wa kugharamiwa kila kitu bure. Siku moja nipo viwanja nimepiga msosi kwanza ndo nianze kumwagilia moyo. Muhudumu wa msosi kanirudishia chenchi sasa kwa sababu bado nipo nikaiacha tu ile hela mezani.

Limwanamke limoja limekuja pale mezani na matako yake eti anachukua hela yangu anunue bia., nilimpiga jicho kali sana nikamwbbia rudisha hela mezani., akazuga kujichekesha chekesha akanunua bia kwa hela yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…