Mnashindwa kuelewa, Hamas hawapo kuikomboa ardhi bali ni kutekeleza itikadi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam.

Sasa hawa jamaa walivyofika kule lebanon, kwa kuwa fujo na ubaguzi ndio asili yao, wakaanza vugu vugu kwa kuwashawishi waislam wenzao waliowakuta kuwa watakaaje nchi moja na wakristu wenye vyeo na mali.

Kwa kuwa asili ya itikadi kali ni jihad, na wanaamini kumuangamiza asieamini au kusali kama wao ni halali, basi wakaanza vita ya wenyewe wenyewe, waislam dhidi ya wakristo.

Kilichofatia sasa ni vifo na kuporomoka kwa uchumi wa lebanon.

Hamas ni mkakati wa kijihad, ndio maana viongozi wao ni matajiri alafu wananchi wa gaza wana taabika. Ndio maana wanajificha nyuma ya jamii za watu kupigana na Israel. Ndio maana wanaiba misaada inayoletwa kwa ajili ya walioathirika na vita. Ndio maana njia zao za vita ni za kinyama sana.

SOMA PIA NYUZI ZANGU HIZI:

Nyie wa kujiita kizazi cha Ismael si mlipewa maeneo yenu binafsi sasa mnahangaika nini na Israel


Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali
 
Wavaakobazi watapinga ila ukweli uko wazi hamasi ni magaidi ya kidini.
 
Muda si mrefu wamepigwa kipigo cha mbwa. Walitaka kutumia Ambulance kutoroka wote wameteketea
 
Wanatakiwa waangamizwe pale gaza haoahitaji magaidi uzuri netanyaubl asikilizi upuuzi wowote zaidi ya kufyeka magaidi
 
Hakuna jamii au kabila lisilo na asili, hivi Wayahudi asili yao ni wapi mkuu?
 
Hakuna jamii au kabila lisilo na asili, hivi Wayahudi asili yao ni wapi mkuu?
Middle East, ila hilo halifanyi Hio ardhi kuwa yao peke yao.

Wayahudi Wakristo na waisilamu walikua wakiishi pamoja Palestina kwa maelfu Ya miaka, then kuna kundi moja likaamua kuua wengine ili limiliki sehemu pekee.
 
Middle East, ila hilo halifanyi Hio ardhi kuwa yao peke yao.

Wayahudi Wakristo na waisilamu walikua wakiishi pamoja Palestina kwa maelfu Ya miaka, then kuna kundi moja likaamua kuua wengine ili limiliki sehemu pekee.
Yaani eneo lao exactly ni lipi hapo Middle East?, kwa maelezo yako ni kuwa hawa wote walikuwa wanaishi Palestina kwa miaka mingi, ombi langu ni kujua wao Wayahudi origin yao na ardhi yao ilikuwa ipi?.

Ninatanguliza shukrani zangu kwako mkuu ili na mimi nijifunze
 
Origin yao ni Iraq, Babylon kwa Babu Yao Ibrahim, baadae Ibrahim akaenda Palestina na Yaaqub pia amezaliwa Palestina, so wana Claim pia Palestina.

Wayahudi wana Makabila 12 (watoto wa Yaaqub) ila kwa modern times ni kama makabila matatu tu yapo Yehuda, Benjamin na Levi, so Majority ya wayahudi sio wayahudi Leo na ni 3/12 aka Robo ya makabila ndio bado wanajitambua kama wayahudi.

Tafiti Karibia zote za Kisayansi zinaonesha wapalestina wa sasa wana nasaba mpaka asilimia 60 ya wayahudi wa kale, na wao ni Eneo Lao Pia hilo la Ki asili. Ukumbuke Lebanon, Palestina na levant Arab wengine sio waarabu kiasili bali wamekua Arabized baada ya Uisilamu kusambaza Middle East.

Na kabla ya Taifa la Israel 1948 kuna wayahudi waarabu wanaitwa Mizrahi walikuwepo Palestina na Dini zote tatu Zilikua zina Exist pamoja, si wayahudi wote walikua Ulaya.
 
Asili ya Wapalestina inaanza na Ibrahim pia?
 
Asili ya Wapalestina inaanza na Ibrahim pia?
Scientifically yes, Wapalestina na Waisrael Dna zao zinafanana.

Ndio maana kila siku humu naongea Ugomvi huu Sayansi haitumiki sababu ita prove claim ya Wapalestina, unafiki wa Nchi za Magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…