K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Sasa kwa nini Wayahudi wao asili yao iwe Iraq halafu Wapalestina isiwe Iraq?, nimezingatia maelezo yako ya awali uliyoniambia kuwa Wayahudi origin yao ni Iraq.Scientifically yes, Wapalestina na Waisrael Dna zao zinafanana.
Ndio maana kila siku humu naongea Ugomvi huu Sayansi haitumiki sababu ita prove claim ya Wapalestina, unafiki wa Nchi za Magharibi.