Sasa kwa nini Wayahudi wao asili yao iwe Iraq halafu Wapalestina isiwe Iraq?, nimezingatia maelezo yako ya awali uliyoniambia kuwa Wayahudi origin yao ni Iraq.Scientifically yes, Wapalestina na Waisrael Dna zao zinafanana.
Ndio maana kila siku humu naongea Ugomvi huu Sayansi haitumiki sababu ita prove claim ya Wapalestina, unafiki wa Nchi za Magharibi.
Wote asili yao moja, hio ya Iraq ni kuonyesha ancestor ametoka wapi, ila Scientifically Wote wana Gene moja wanatofautiana tu Culture na Dini.Sasa kwa nini Wayahudi wao asili yao iwe Iraq halafu Wapalestina isiwe Iraq?, nimezingatia maelezo yako ya awali uliyoniambia kuwa Wayahudi origin yao ni Iraq.
Kwa hiyo huko wanakogombania ardhi ni mali ya wote pia au inamilikiwa na Wapalestina?Wote asili yao moja, hio ya Iraq ni kuonyesha ancestor ametoka wapi, ila Scientifically Wote wana Gene moja wanatofautiana tu Culture na Dini.
Hio sehemu imani zote 3 Zilikua zina Exist kwa Amani, si waisilamu, si wayahudi, si Wakristo waliokuwa wanaclaim eneo ni lao peke yao.Kwa hiyo huko wanakogombania ardhi ni mali ya wote pia au inamilikiwa na Wapalestina?
Bado sijapata majibu, tukirudi mfano miaka 2500 -3000 nyuma, hiyo ardhi ilikuwa inamilikiwa na jamii ipi?Hio sehemu imani zote 3 Zilikua zina Exist kwa Amani, si waisilamu, si wayahudi, si Wakristo waliokuwa wanaclaim eneo ni lao peke yao.
Hata walivyokua wakija Wayahudi toka Ulaya walipokelewa na Wapalestina wakawa wanaishi nao kwenye nyumba zao.
Just imagine mtu humjui anatoka bara jengine unamkaribisha kwako anakula na watoto wako na mkeo, hao ndio wapalestina walivyowakaribisha wayahudi toka ulaya.
Ugomvi umekuja baada ya Zionist kujimilikisha hilo eneo Kwa Msaada wa Uingereza.
Scientifically hao hao wa sasa wanaopatikana Israel NA Palestina ndio hao hao walikua wanaishi miaka 3000 iliopita.Bado sijapata majibu, tukirudi mfano miaka 2500 -3000 nyuma, hiyo ardhi ilikuwa inamilikiwa na jamii ipi?