Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Bidada!!!!!!!
bora aloe vera nitapatapo na dawa kabisaaaaa!!!
hiyo umepata bibie.....ua jingine unalotaka nilete?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidada!!!!!!!
bora aloe vera nitapatapo na dawa kabisaaaaa!!!
black woman!!
jicho kama la wasanii wa Kinigeria ndio likoje?????
Mshukuruni kwa thread kwanza ndio muanze lawama...Hamjaelewa alichosema?..Mnasubiri mpaka AFE ndio mseme thread yake ilikuwa muhimu!..Watz bana!
jamani susy....kwa nini unaninyanyasa hivi na hii font lakini?
Huwa nataabika sana!!
najiuuliza sipati majibu!!
ni kwanini watanzania tupo hivi??? ni kwanini serikali yetu ipo hivi??
Tumelogwa sie???????? nani katuloga???????
kwanini ukimuona mwenzio amefanya jambo zuri kwanini huwezi kumsifiaa??? kwanini huwezi kumtia moyo?? kumwambia songa mbele, Mungu akutie nguvu, kazi yako ni njema, umejitahidi rafiki songa mbele zaidi, Mungu na akupigishe hatua zaidi!!!
utakuta mtu akifanya jambo zuri hakuna wakumtia moyo zaidi watu wanaanza kumbeza, kajumba gani kale alikojenga mhh kataezuliwa na upepo siku si nyingi, mmeona huyo mke aliyeoa/mme aliyemuoa sijui kama watafika mbali, eeehh eti kanunua gari, kagari kenyewe mmekaona, tena kamkopo basi!!
kuna mpaka maadhimisho ya nyerere day!! mnamuenzi mwl kwa rushwa?? na ufisadi??? je alipokuwepo hai mlipongeza kwa aliyofanya? mlimtia moyo??
je mnasubiri watu wafe ndio muwasifie??
mfano hai tu ni yule mzee wa watu wa loliondo mnataka afe ndio mumsifie?? kwanini serikali haimtii moyo?? kwnn haimpigishi hatua zaidi? eti ooh asitoe kwanza dawa mpaka uchunguzi ufanyike??
mbona shehe yahya mnamwendea kuchukua majini lkn hamsemi kuwa majini yanaua??????
soma signature yangu.....tubadilike wana JF
Nawakilisha!!