Mnasubiri mpaka nife ndio mniletee maua kaburini ?????

Mnasubiri mpaka nife ndio mniletee maua kaburini ?????

Susy

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
1,431
Reaction score
221
Huwa nataabika sana!!
najiuuliza sipati majibu!!

ni kwanini watanzania tupo hivi??? ni kwanini serikali yetu ipo hivi??

Tumelogwa sie???????? nani katuloga???????

kwanini ukimuona mwenzio amefanya jambo zuri kwanini huwezi kumsifiaa??? kwanini huwezi kumtia moyo?? kumwambia songa mbele, Mungu akutie nguvu, kazi yako ni njema, umejitahidi rafiki songa mbele zaidi, Mungu na akupigishe hatua zaidi!!!

utakuta mtu akifanya jambo zuri hakuna wakumtia moyo zaidi watu wanaanza kumbeza, kajumba gani kale alikojenga mhh kataezuliwa na upepo siku si nyingi, mmeona huyo mke aliyeoa/mme aliyemuoa sijui kama watafika mbali, eeehh eti kanunua gari, kagari kenyewe mmekaona, tena kamkopo basi!!

kuna mpaka maadhimisho ya nyerere day!! mnamuenzi mwl kwa rushwa?? na ufisadi??? je alipokuwepo hai mlipongeza kwa aliyofanya? mlimtia moyo??

je mnasubiri watu wafe ndio muwasifie??

mfano hai tu ni yule mzee wa watu wa loliondo mnataka afe ndio mumsifie?? kwanini serikali haimtii moyo?? kwnn haimpigishi hatua zaidi? eti ooh asitoe kwanza dawa mpaka uchunguzi ufanyike??

mbona shehe yahya mnamwendea kuchukua majini lkn hamsemi kuwa majini yanaua??????


soma signature yangu.....tubadilike wana JF

Nawakilisha!!
 
jamani susy....kwa nini unaninyanyasa hivi na hii font lakini?
 
baadhi ya watanzania nt watanzania wote wenye tabia izo.
 
Ni kweli kabisa umeongea.

Ila hiyo color na font duu imeninyanyasa sana
 
Tru Fact!thnx for the post..

yatubidi tubadilike.yote yanasababishwa na wivu usio na maendeleo.no good.
 
oooh mai mai....wea havyu bin......siku zote hizo?

dah bshost mwenzio nilikua mpitimbi kwa bibi nakula ugali nalidelele!!!!!
niaje?
mipoa u?
mungu taulinde beb say ..amen...
 
Susy haya mambo ya color na font hii umeanza lini lakini?? Ujue umenikwaza??
 
Mshukuruni kwa thread kwanza ndio muanze lawama...Hamjaelewa alichosema?..Mnasubiri mpaka AFE ndio mseme thread yake ilikuwa muhimu!..Watz bana!
 
Dena nimekusoma nimekupata!! nafikiri hapo tupo pamoja my love!!
 
ha hahaaaaaaa Pakajimmy hawa ndio watanzania Bwana!!!!!
 
ha hahaaaaaaa Preta lol!!
 
ha hahaaaaaaa Preta lol!!

hihihi.....asante mrembo kwa kuusuuza mtima wange......kukujulisha tu ni kuwa signature yako kuna mahali nimeitumia kwa nia nzuri tu so ukikutana nayo usiogope....ni mimi......shukriya
 
Preta usijali my lov!!
 
Bidada!!!!!!!

bora aloe vera nitapatapo na dawa kabisaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom