Ukitathmini rafu za uchaguzi mkuu bila kuhusisha ujinga na upumbavu unaotokea kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM jumuisho utakalotoa litakuwa ni bandia si halisi..na hivyo kusema Magufuli pekee ndiye aliharibu uchaguzi 2020 si kweli!
Akiwa Mwenyekiti wa ccm alileta mabadiliko muhimu ndani ya ccm ikiwemo mabadiliko ya kura za maoni..lengo ni ccm kupata wagombea hodari, wenye sifa stahiki wasiohitaji uwepo wa hila na ghiliba kushinda..na hatimae waunde serikali imara..kilichotokea sote tunajua, mabadiliko mapya ya kura za maoni yalitupwa dk za mwisho na kurejeshwa ule upumbavu wa siku zote! Kwa wasiojua leo niwasaidie vitu viwili vinavyoisumbua ccm na nchi kwa ujumla..
1. ccm inaendeshwa na kusimamiwa na mercenaries kwa kushirikiana na baadhi ya viongoz wastaafu kulinda agenda zao..bahati mbaya watanzania wengi hawafahamu jambo hili hata Magufuli alikuwa mmojawapo..
2. ccm inaendesha mambo yake yote kwa cartel system..wengi hawajui na Magufuli hakujua pia..
Kama ndani ya ccm uchaguzi kuwapata wagombea ni uhuni mtupu, unaweza tarajia jema kwenye uchaguzi mkuu? Utakuwa mwendawazimu punguani wa mwisho kuamini uchaguzi mkuu utakuwa fair!
Makosa ya Magufuli..
1. Kushindwa kufanya homework yake baada ya kuapishwa ya kudeal na wastaafu na genge lao 100% amalizane nao mapema! yaliyomtokea mwishoni bora yangetokea mwaka wake wa kwanza wa urais!
2. Kutofahamu kutumia mamlaka aliyokuwa nayo vizuri na kutegemea ushauri potofu wa kuvikwa sifa bandia akalewa na kusahau hatari zilizokuwa pembeni yake, hatimaye zikagharimu maisha yake na nchi nzima kurudi nyuma zaidi kuliko hata pale tulikuwa kabla hajawa Rais!
Tusimlaumu Magufuli kwa ubovu wa uchaguzi 2020, ana sehem ndogo sana ya yaliyotokea wakati huo!
Dawa ni katiba mpya itakayompa Rais UFAHAMU wa kumaliza homework zake mapema bila kuambiwa na yeyote!