Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa. Uchaguzi wa 2015 na ule wa 2010 hakukuwa na matatizo?

Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli

Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?

Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...

Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!

Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.

Nawauliza:

Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?

NB*: Nimesahihisha hapo juu miaka.
John Magufuli na timu yake ya wizi walifanya wizi wa kura wa kipumbavu kuwahi kutokea duniani.

Na walioshiriki kuiba kura mwaka 2020 lolote liwapate, mbwa nyie.
 
..kama kuna madaraja ya uhalifu wa kisiasa Magufuli na genge lake wako daraja la juu kuwazidi wenzao.

..kwa mfano, shambulizi dhidi ya Tundu Lissu, unaanzaje kumtetea Magufuli kwa ushenzi wa kiwango kile?
Shambulizi la Mwandishi Mwangosi na La Tundu Lisu yanawatofautisha vipi Kikwete na Magufuli ?
 
Kwamba hatujui wizi katika uchaguzi kabla ya 2020, na uhayawani wa 2020? Ni hivi, kabla ya 2020 kulikuwa na wizi kwenye chaguzi, 2020 haikuwa wizi katika uchaguzi, Bali dhalimu magu alipora mchakato wa uchaguzi.
Sasa ni wizi gani ambao unajua unaibiwa na mwizi unamjua na mara zote anafanya hivyo hivyo kwa nini usimzuie huyo mwizi? Yani ajabu sasa hivi unategemea 2025 utaibiwa kwa wizi uleule na mwizi yuleyule.

Huo sio wizi.
 
Ni kweli kabisa !
Huo utakuwa ni ujinga au ubwege wa yule anayeibiwa na kukubali kuibiwa !
Je anayedai kuibiwa anatafuta au anasubiri huruma ya mwizi wake ili aache kumwibia. ???!!!
😅😅😅🙏🙏
 
Ni kweli lakini kuna 'udokozi na Ujambazi''. Mwaka 2020 ulikuwa ujambazi.
Kiukweli inajulikana ccm imejimilikisha nchi kwa maana vyovyote iwavyo lazima ccm atangazwe mshindi na kubaki madarakani iwe kwa wizi,udokozi, goli la mkono au ujambazi ila lengo ni ccm kubaki madarakani. Sasa unaweza kuona huo udokozi ni kitu kidogo ila ndio unafanya ccm kuendelea kuwa madarakani.
 
Kiukweli inajulikana ccm imejimilikisha nchi kwa maana vyovyote iwavyo lazima ccm atangazwe mshindi na kubaki madarakani iwe kwa wizi,udokozi, goli la mkono au ujambazi ila lengo ni ccm kubaki madarakani. Sasa unaweza kuona huo udokozi ni kitu kidogo ila ndio unafanya ccm kuendelea kuwa madarakani, wengine
Kwenye vitabu vyote vya Dini vinasema Wizi ni dhambi !
Je watu wameamua kupuuza hiyo Amri ???!!
 
Unachanganya vitu viwili, kushinda uchaguzi na kutenda haki.

Hakuna anyedai Wapinzani wangeshinda au kushindwa. Kinachozungumziwa ni haki kutokuwepo, uchaguzi ulivurugwa chini ya uangalizi wa Marehemu Jambazi

Mkuu wa Polis Hai alimwambia mgombea '' Wewe hutashinda hata ukifanya nini wakati anazuia mkutano wa huyo aliyetabiriwa kushindwa'' Huyu ni Mkuu wa Polisi wa Wilaya akifanya kazi za CCM kwa kulipwa kodi zetu.

Tume ya Uchaguzi ilikaa kimya kwa kumuogopa Jambazi, na Jambazi lilikaa kimya kwasababu lilishatamka '' ole wako umtangaze mpinzani kashinda''. Huu ndio Ujambazi tunaoongelea na Jambazi lilifanya hivyo kwa uwazi na mchana.

Jambazi halisafishiki hata kwanini, mtapaka rangi lakini matendo yake yanatoa uvundo.
Kuhubiri kuwa uneibiwa kura bila kusema wapi na navyo ulivyoibiwa ndo ujings na porojo
 
Sasa ni wizi gani ambao unajua unaibiwa na mwizi unamjua na mara zote anafanya hivyo hivyo kwa nini usimzuie huyo mwizi? Yani ajabu sasa hivi unategemea 2025 utaibiwa kwa wizi uleule na mwizi yuleyule.

Huo sio wizi.
Wizi huo hufanywa kwa mbeleko ya vyombo vya Dola na vingine vya kimamlaka. Na yote hayo husababishwa na katiba hii ambayo hatuitaki tena.
 
Wizi huo hufanywa kwa mbeleko ya vyombo vya Dola na vingine vya kimamlaka. Na yote hayo husababishwa na katiba hii ambayo hatuotaki tena.
Kama inatumika nguvu ya dola kuendelea kubaki madarakani pia hawataki na hiyo katiba ibadilishwe, basi huo sio wizi au udokozi tena ni kitu kikubwa zaidi huwezi kusema ni wizi tu.
 
Kama inatumika nguvu ya dola kuendelea kubaki madarakani pia hawataki na hiyo katiba ibadilishwe, basi huo sio wizi au udokozi tena ni kitu kikubwa zaidi huwezi kusema ni wizi tu.
Call it whatever you want to call it, lakini naweza kukuambia ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na hatima ya huu uhayawani ni machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi.
 
Shambulizi la Mwandishi Mwangosi na La Tundu Lisu yanawatofautisha vipi Kikwete na Magufuli ?

..shambulizi la Mwangosi lilikuwa ni ajali.

..Mwangosi hakuwa target ya wale askari waliokwenda kuzuia na kuvuruga mkutano wa Chadema.

..shambulizi la Lissu lilikuwa ni tukio lililopangwa, na kuratibiwa. Lissu alikuwa ni target.

..Kikwete aliruhusu uchunguzi wa Tume ya Haki za Binaadamu na ripoti ilitolewa.

..Magufuli alizuia uchunguzi wa shambulizi la Lissu, na Samia ameendelea kuzuia uchunguzi mpaka hivi tunavyozungumza.
 
Namsaidia tena kuuliza; Damu ya nani ilimwagwa kwenye uchaguzi wa 2020?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app

..Mwanasheria Mkuu na Waziri wa zamani wa serikali ya Zanzibar, na mwanachama wa Act, Mh.Aboubakar Khamis, aliuwawa ktk uchaguzi wa 2020.

..Uchaguzi wa 2020 ulivunja rekodi ya kuwa na wagombea wengi zaidi wa upinzani walioenguliwa na Tume na Wakurugenzi kwasababu za hovyohovyo.
 
Kuhubiri kuwa uneibiwa kura bila kusema wapi na navyo ulivyoibiwa ndo ujings na porojo
Sikiliza, marehemu Jambazi alitoa kauli na ilitekelezwa kwa vitendo.
Jambazi alikuwa mkweli katika kutenda uharamia
Kule Korogwe Mkurugenzi alikimbia Ofisi kutimiza kauli ya marehemu ' ... umtangaze mpinzani''

Idadi ya watu walioenguliwa ilikithiri chaguzi yoyote. Mzee Warioba, AG , VP na PM aliuliza ni sheria gani inayosema mtu akikosea kujaza fomu afutwe? Hakuna jibu kutoka Tume ya uchaguzi hadi leo.

Dar zilikamatwa kura feki katika mabegi kule Kawe. Polisi wakasema hawana mamlaka ni juu ya tume
Kule Ubungo yakamatwa maboksi, polisi wakasema hawana mamlaka
Uchaguzi wa Kindondoni maboksi ya kura yaliletwa mchana, Tume ikaulizwa kwa ushahidi. Hawana jibu hadi leo

Zanzibar watu walifuatwa na kuna mwanacham mmoja alifariki kwa majeraha baada ya kipigo.
Akina Jusa waliponea chupu chupu.

Hayo yote yanafanyika Dar na Zbar sehemu zenye mwanga, yaliyotokea gizani huko kwingine mungu anajua.

Kauli ya kufuta upinzani ikatimia kama alivyoahidi marehemu Jambazi

Ni mtu asiyetakiwa hata kutajwa kwa uovu uliotamalaki na harufu ya uovu wake haifutiki.

Hivi mwanadamu wa kawaida anaweza kutangaza hadharani fulani auawe! Jambazi aliweza.

Tena mkitutibua tutafumua hata wizi wa pesa aliofanya kiujambazi achilia mbali roho za wanadamu alizozikatili

JokaKuu
 
wewe ukiambiwa kula mavi ya mwanao utakula? magufuli ndiye alibeba masanduku ya kura? ok aliyeagiza hayo hayupo, aliyemweka gerezani Mbowe kwa mashitaka bandia yupo au hayupo! au uchaguzi peke yake ndio eneo la kutathmini ubaya na uzuri wa kiongozi..
 
..unapokuwa Raisi wa Tz unawajibika kwa yote yanayofanywa na wateule wako.

..Ni kweli Magufuli hakuonekana akibeba masanduku ya kura za wizi, lakini ni kweli pia Magufuli hakuonekana akibeba zege ktk ujenzi wa daraja la mto Wami.

..Kama kuna jambo baya linaendelea ktk serikali yake Rais anayo mamlaka ya kuwaondoa wahusika ktk nafasi zao na kuwapeleka ktk vyombo vya sheria.

NB:

..Mfano ulioutoa kuhusu Samia, na genge lake, kumtungia Mbowe mashtaka bandia ni sahihi. Kwa maoni yangu anastahili lawama, na laana, kwa kitendo kile.
 
Yaani umaamini kabisa mwaka 2020 kulikuwa na UCHAGUZI Tanzania? Watu walikwenda vituoni kuweka alama ya wino kwenye vidole.

Mwaka 2020 aliamua kuziiba kura zote mwenyewe Magufuli kwa kutiki makaratasi kutokea Jamana Printers na Kambi ya Mbweni Kisha ma DSO na DED wakagawiwa makatasi yaliyopigwa. Zile kura tulizopiga wananchi hazikuhesabiwa kabisa.

Dhana ya kwamba Magufuli alikuwa anapendwa ni UWONGO, kadanganye wanao au wajinga wenzi
Kwamba lisu alipata kura nyingi kuliko Magufuli?kweli wajinga wapo wengi
 
Back
Top Bottom