[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majengo ya CCM ni ya vyama vyote mwaka 1991 baada ya Tanzania kutangazwa ni Nchi ya mfumo wa vyama vingi ilipaswa majengo viwanja mali za CCM vigawanywe kwa vyama vyote, chadema haiwezi kujenga jengo jipya wakati inajua majengo ya CCM ni yao.
Waafrika wa Sasa ni sawa na kizazi cha watumwa akichekani angalau kile Cha wapigania Uhuru kilikuwa strong hiki uburuwa na watawala bila mabeberu sababu ya the Hague na kuogopa misaada waafrika wangemsalia mtume toka kwa wakoloni weusiwe unadhani walifanya yote hayo kwa kupenda? walijaribu kupigana na hawa wavamizi bt kwa kua walikua na silaha duni ndo maana mambo yaliwaendea kombo wakasalimu amri bt hii sio sababu yakutaka tuendelee kujidharau na kujidunisha.
Hizi ndo akili za Lumumba buku 7.Hamnaga dogo, Juzi tu wakati mnazungusha mikono mlidai mtafufua shirika la ndege na kujenga flyover! Leo hamzitaki tena, Wapinzani mnahitaji kutambikiwa akili zenu sijui kama zina akili!!!!!! Mnaboa mjue
mabadiliko ni fikra hivo tunapaswa tuache kua watumwa wa fikra za mzungu ili tujitawale kwa haki na demokrasia zetu, ikiwa wapgania uhuru waliweza hata sisi tunaweza tunachokosa ni utayari pekee, hata amerika na china zimetawaliwa na muingereza bt leo muingerezeka kazidiwa kila kitu na makoloni yake.Waafrika wa Sasa ni sawa na kizazi cha watumwa akichekani angalau kile Cha wapigania Uhuru kilikuwa strong hiki uburuwa na watawala bila mabeberu sababu ya the Hague na kuogopa misaada waafrika wangemsalia mtume toka kwa wakoloni weusi
Mimi kiukweli nasema tukichagua tena huyu mtu basi inatakiwa tukapimwe akili
Kiukweli hii chata ya Burigi imeua nchi kiuchumi na mbaya kuliko ni kurudi tena miaka mitano mingine hapa ndo sura halisi na matendo yake yatakuwa hadharani natabiri kuwa watu watachinjwa hadharani."...Wanadamu wapo wenye kashukuru, na wapo wasioshukuru.
Wapo walionufaika kwa hayo wewe unaona yasiyomana.... Ndomana nasema , Hata Mungu kwa wema wake na vyote vizuri alivyoviumba, kuna manyumbu Bado yanamuona hafai."
Mimi sio wa kushikiwa akili kama wewe! Hebu jitambueHizi ndo akili za Lumumba buku 7.
Wazungu je? Hawakuiba kodi zetu?Bila wao watawala wa kiafrica wangekuwa wanatubanika live Kama nyama,waafrika hawana uwezo wa kujiongoza Ni lzm wauwane,waibiane,wawaumize wenzao,waibe kodi za wananchi,wapendelee kwao
Sisi hatutamchagua NEC itamtangazaMimi kiukweli nasema tukichagua tena huyu mtu basi inatakiwa tukapimwe akili
2015 waliuza kiti cha kugombea uraisi hadi wamemfanya mzee wa watu dk Slaa awasusie chama chaoUnawashawishi Watanzania wachague majambazi na wauza nchi...
Asee halafu ndio wapo wakushato akili zimefungiwa chattle..Word. Sema kuna mburulaz hawawezi kukuelewa hapa.
Acheni kuwafanya watu wawe wanyonge kila Leo ili muendelee kutawala..Amekwisha jiweka wazi kuwa yeye ni Raisi wa wanyonge" wewe unataka aongoze wenye afya?
Wanajuta sasa2015 waliuza kiti cha kugombea uraisi hadi wamemfanya mzee wa watu dk Slaa awasusie chama chao
2020 walitaka kumuzia Membe ila Membe akachomoa
Walimu,madaktariKama hutaki miundombinu iboreshwe unataka nini
Unashikuru Nini? Unashukuru kwa kupewa haki yako?