Kweli ushabiki unamfanya mtu awe stupidWalimu,madaktari
Mtu makini au mtu Mataga?Hahaha sa kwa mtu mwenye akili timamu kwa nini nisimchague magufuli, hamna point yoyote ile yenye nguvu inayoweza kunifanya nisimchague huyu mtu
Na Tanzania kuna kalika au hakukaliki?Ethiapia inaongoza kuwa na mavitu na midege kuliko hayo anaesema ataongeza lakini leo hii kila kukicha wananchi wake wanakamatwa maharamia nchini mwao hakukaliki
Nipe point ya kwann nisimchague yeye nimchague lissuMtu makini au mtu Mataga?
Haki huinua taifa.Unachotaka ni serikali ifanyeje sasa, au kipi kinapaswa kufanyika serikali ionekane bora
Watanzania sio mapopoma, unadhani wanamchagua basi? Mfumo wa uchaguzi ndio utamrudisha mamlakani, ndio maana ana kibri na jeuri.Mimi kiukweli nasema tukichagua tena huyu mtu basi inatakiwa tukapimwe akili
Watu Kwanza washibe, pili wawe huru, miundombinu inajengeka tu,
Jitu linajifanya kushabikia sijui ndege sijui maendeleo ya madaraja wakati ndege hajawahi panda na wala hana gari la kupitisha katika hilo daraja.
Harafu yeye choka mbaya mnyonge anajiita
kila aliyefanikiwa anamuona mwizi na freemason.
kama mkichagua tena mkapimwe akili maana mtakuwa mnamatatizo.
Watanzania wanatakiwa kuchagua maisha mazuri au ujenzi wa miundombinu isiyo na tija.
Kuna nchi ina miundombinu kama Afrika Kusini. Lakini fuatilia umaskini wa wananchi, unatisha. Miundombinu kama flyover na ndege inamsaidia vipi mkulima wa nyanya kule kijijini. Kama haimsaidii tupa kule ndege badala yake tuwekeze kwenye mitaji na masoko ya mazao ya wakulima.Ethiapia inaongoza kuwa na mavitu na midege kuliko hayo anaesema ataongeza lakini leo hii kila kukicha wananchi wake wanakamatwa maharamia nchini mwao hakukaliki
Ukiwa mpumbavu lazima utafokewa tu.Usitufokee[emoji3][emoji3]
Ukiwa mpumbavu lazima utafokewa tu.