Imekuwa ni kawaida Kwa baadhi ya watu kukosoa kila panapotokea watu wa mpira kujadili mambo ya timu zao pendwa haswa Simba na Yanga, Kwa maelezo kuwa hawana la kufanya, ebu njooni taratibu mtiririke labda wapenzi wa Simba na Yanga wanaweza kuwaelewa na kujadili suala unaloliona wewe ni muhimu kulijadili kuliko mpira.