Kuanzia mwaka 2016 kuna kaadui ka nne kameongezeka...Mwaka 1961 mwalimu Nyerere alitangaza Maadui wakuu watatu wa Taifa (Tanganyika)
1. Umasikini.
2. Ujinga.
3. Maradhi.
Mungu akuongoze uweze kunielewa.
Kapi hako ankoKuanzia mwaka 2016 kuna kaadui ka nne kameongezeka...
Taratibu bwashee! Tutaelewana Tu! Lengo NI kujenga! Ngoja wengine nao watiririke! Tutafika Tu!Mwaka 1961 mwalimu Nyerere alitangaza .........
Mungu akuongoze uweze kunielewa.
12. Uchawa.Leo baada ya Miaka 60 ya Uhuru tuna maadui.
1. Ujinga na upumbavu.
2. Umasikini na ufukara.
3. Maradhi na ukichaa.
4. Mmomonyoko wa Maadili.
Ushoga usagaji, Mishangazi, uvaaji nk
5. Rushwa.
6. Ukosefu wa Ajira.
7. U Simba na U Yanga.
8. Kamari.
9. Pombe Bangi, unga, mawigi, kope,tatuu
10. Kutowajibika ujenzi haramu uvamizi wa viwanja.migogoro mingi mo, kesi , demokrasia ya vyama vingi, police na zimamoto nk nk
Samahani lengo la Mada hii ni TUJADILI na kupata mawazo tofauti tofauti ili nawe pia ujifinze.Simba na Yanga vinakuletea chakula mezani? Simba na Yanga zina kutibu ukiugua? Simba na Yanga zina kupa ajira ukimaliza chuo? Simba na Yanga zina msaidia mtoto wako kupata elimu bora?
Kimsingi watu wana tamani kuona mkitumia muda mwingi kujadili mambo ambayo yatasaidia kutatua changamoto zetu za, maisha
Huu ni " UGONJWA MPYA" na unaenea Kwa Kasi zaidi ya hata Corona! Na tatizo bado pale Muhimbili hawajapata tiba Labda inatibika na Miziziology12. Uchawa.
Yote haya NI kweli yanatuzunguka baada ya miaka 60 ya Uhuru, hatupingi, Labda watu wamepigana kuondoka yote hayo na wameona wameshindwa, na wakati wa vita hivyo wakaona NI Bora kujipumzisha katika mpira huku wakitafakari hiyo vita ya umasikini wataiendeleza vipi!Leo baada ya Miaka 60 ya Uhuru tuna maadui.
1. Ujinga na upumbavu.
2. Umasikini na ufukara.
3. Maradhi na ukichaa.
4. Mmomonyoko wa Maadili.
Ushoga usagaji, Mishangazi, uvaaji nk
5. Rushwa.
6. Ukosefu wa Ajira.
7. U Simba na U Yanga.
8. Kamari.
9. Pombe Bangi, unga, mawigi, kope,tatuu
10. Kutowajibika ujenzi haramu uvamizi wa viwanja.migogoro mingi mo, kesi , demokrasia ya vyama vingi, police na zimamoto nk nk
Ni muda mrefu anko...Kapi hako anko
πππππππWanataka mjadili.... "Hakika amefungua nchi Daktari bingwa Samia Suluhu Hassan"Imekuwa ni kawaida Kwa baadhi ya watu kukosoa kila panapotokea watu wa mpira kujadili mambo ya timu zao pendwa haswa Simba na Yanga, Kwa maelezo kuwa hawana la kufanya, ebu njooni taratibu mtiririke labda wapenzi wa Simba na Yanga wanaweza kuwaelewa na kujadili suala unaloliona wewe ni muhimu kulijadili kuliko mpira.
Kwema sana Anko, vipi huko kwako?Ni muda mrefu anko...
Kwema?
Hayo tumewaachia nyie mtujadilie mkuu.Simba na Yanga vinakuletea chakula mezani? Simba na Yanga zina kutibu ukiugua? Simba na Yanga zina kupa ajira ukimaliza chuo? Simba na Yanga zina msaidia mtoto wako kupata elimu bora?
Kimsingi watu wana tamani kuona mkitumia muda mwingi kujadili mambo ambayo yatasaidia kutatua changamoto zetu za, maisha
Tulipata supu kupitia Simba na YangaSimba na Yanga vinakuletea chakula mezani? Simba na Yanga zina kutibu ukiugua? Simba na Yanga zina kupa ajira ukimaliza chuo? Simba na Yanga zina msaidia mtoto wako kupata elimu bora?
Kimsingi watu wana tamani kuona mkitumia muda mwingi kujadili mambo ambayo yatasaidia kutatua changamoto zetu za, maisha