Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hiv hujui kuwa Hizo timu zimeajiri watz weng tu???Simba na Yanga vinakuletea chakula mezani? Simba na Yanga zina kutibu ukiugua? Simba na Yanga zina kupa ajira ukimaliza chuo? Simba na Yanga zina msaidia mtoto wako kupata elimu bora?
Kimsingi watu wana tamani kuona mkitumia muda mwingi kujadili mambo ambayo yatasaidia kutatua changamoto zetu za, maisha
11 weka udini hapoLeo baada ya Miaka 60 ya Uhuru tuna maadui.
1. Ujinga na upumbavu.
2. Umasikini na ufukara.
3. Maradhi na ukichaa.
4. Mmomonyoko wa Maadili.
Ushoga usagaji, Mishangazi, uvaaji nk
5. Rushwa.
6. Ukosefu wa Ajira.
7. U Simba na U Yanga.
8. Kamari.
9. Pombe Bangi, unga, mawigi, kope,tatuu
10. Kutowajibika ujenzi haramu uvamizi wa viwanja.migogoro mingi mo, kesi , demokrasia ya vyama vingi, police na zimamoto nk nk
Sipingani na Maoni yako, lakini hawa wanaojadili mpira kutwa nzima, je, wanatoa wapi pesa za kutosheleza mahitaji Yao ya kila siku? Mfano chakula. Maana Hewa NI ya bure Mwenyezi Mungu katupa bure. Je chakula? Ukweli ili uishi unahitaji Kula ata iwe mara moja Kwa siku tatu! Je, watu hawa wanatoa wapi mahitaji Yao muhimu ya kila siku? NI dhahiri hawapati mahitaji Yao bure Bali wanagharimia Kwa pesa!Kujadili au kuzungumzia mpira sio shida. Tatizo linaanza pale unapotok home asubuhi kwaajili yakutafuta halaf kuanzia asubuhi mpk jion mnaongelea ishu za yanga na simba ama mpira. Akitok huyu akiingia huyu zogo linaanza tena. Au mpira unakuwa topic ya wiki nzima mpk zinakutana mechi nyengine. Kunakuwa hakuna mambo mengine sasa?? Ni mpira tuuuuu mwezi mzima hadi mwaka.
Mambo ya msingi km unaiondoaje njaa nyumbani kwako hayapo
Mnafanyaje kuongeza kipato chako cha kila siku.
Ushirikiano kwenye mambo yakijamii
Siasa za nchi yako. Mkate unaokula siasa ndio imepanga hyo bei. Bei Inapopanda unaishia kulalamik ila yangekuwa yanajadiliw km mpira unavyojadiliw. Daah tungekuw km Kenya
King mwenyewe👏👏Kapi hako anko
Daah! Kaka 🤝King mwenyewe👏👏
Sikupingi kabisa ila uliowazungumzia hapo wote wamejiajiri au kuajiriwa kupitia mpira. Hoja yako tunawaangalia wanaojadili mpira. Sijui kama nakosea.Sipingani na Maoni yako, lakini hawa wanaojadili mpira kutwa nzima, je, wanatoa wapi pesa za kutosheleza mahitaji Yao ya kila siku? Mfano chakula. Maana Hewa NI ya bure Mwenyezi Mungu katupa bure. Je chakula? Ukweli ili uishi unahitaji Kula ata iwe mara moja Kwa siku tatu! Je, watu hawa wanatoa wapi mahitaji Yao muhimu ya kila siku? NI dhahiri hawapati mahitaji Yao bure Bali wanagharimia Kwa pesa!
Mijadala ya mpira ilikuwepo miaka yote lakini si Kwa kiwango hiki ila imepamba Moto miaka ya hivi karibuni.
Kwenye mpira kuna makundi tofauti, wako waajiriwa yaani wanaopata pesa kutokana na mpira, mfano wachezaji, viongozi, wenye viwanja, mahoteli, wasafirishaji, siku hizi kuna wenye mabanda ya kuonyesha mpira na wengineo.
Kuna wapenzi wa mpira, hawa wanatumia mpira Kama sehemu ya kupumzisha akili.
SASA SABABU ZINAZOFANYA WAJADILI MPIRA MUDA MREFU NI NINI?? NA TUFANYEJE ILI WAJIKITE KUJADILI MAMBO MENGINE?Sikupingi kabisa ila uliowazungumzia hapo wote wamejiajiri au kuajiriwa kupitia mpira. Hoja yako tunawaangalia wanaojadili mpira. Sijui kama nakosea.
Nikupe mfano TVE kunakipindi cha michezo kinachojadiliwa kwa masaa 3 kwa siku. Naamini ndio kipindi cha muda mrefu cha kujadili mpira kuliko media zote nchini. Sasa rudi mtaani kwanza huwa topic ni moja asubuhi mpk jioni. Mtu wa boda anaweza akampuuzia mteja kwa sababu mada imepamba moto. Anaweza akaendesha spidi njiani wakati anarud kijiweni ili asikute mada imeisha yakujadili simba na yanga. Nadhani unaelewa madhara ya spidi kali barabarani. Hyo ni mifano michache.
Sisi tujadili changamoto za familia yako sisi zina tuhusu nini?Simba na Yanga vinakuletea chakula mezani? Simba na Yanga zina kutibu ukiugua? Simba na Yanga zina kupa ajira ukimaliza chuo? Simba na Yanga zina msaidia mtoto wako kupata elimu bora?
Kimsingi watu wana tamani kuona mkitumia muda mwingi kujadili mambo ambayo yatasaidia kutatua changamoto zetu za, maisha
Mambo ya msingi kwako ni kama yapi?Jadilini mambo ya msingi
Wakiwa studio ile nikazi. Kama nmekuelewa vzr ukiachamq ma hao walioajiriwa au kujiajiri km sehemu yao yakuendeshea maisha. Sis wa mtaani kwenye vijiwe vya bodaboda au kahawa kwanini tunajadili sn mpira kuliko ishu nyengine????? Labda sijakuelewa hoja yakoSASA SABABU ZINAZOFANYA WAJADILI MPIRA MUDA MREFU NI NINI?? NA TUFANYEJE ILI WAJIKITE KUJADILI MAMBO MENGINE?
Tuko pamoja ndugu! Kuanzia hao wa studio kwani nao vipindi vyao vya kujadili mpira NI kuanzia saa nzima Hadi masaa matatu, na sijui Kama kuna Kati ya vipindi vyao vya mambo mengine vinavyochukua muda mrefu Kama vya mpira.Wakiwa studio ile nikazi. Kama nmekuelewa vzr ukiachamq ma hao walioajiriwa au kujiajiri km sehemu yao yakuendeshea maisha. Sis wa mtaani kwenye vijiwe vya bodaboda au kahawa kwanini tunajadili sn mpira kuliko ishu nyengine????? Labda sijakuelewa hoja yako