Kiranjajunior
Member
- Oct 10, 2023
- 96
- 152
Kwa tabia za viongozi wengi wa kiafrika, Trump alikuwa sahihi kutuita Shit hole..ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.
..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.
..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.
..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.