Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Kongole Mkongwe kwa kuliona hili,..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.
..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.
..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60.
Binafsi nilimuona Trump kama Kichocheo cha "White Supremacy"