..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.
..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.
..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60.
Bila ubaguzi hakuna Ubepari duniani.
Ubepari ni zao la ubaguzi.
Bila ubaguzi hakuna Demokrasia .
Bila ubaguzi hakuna Ugaidi.
Bila ubaguzi hakuna Uislam na uRoma na Ubuza ,uzayuni ,uyahudi n.k.
Bila ubaguzi hakuna siasa.
Bila ubaguzi hakuna vita .
Bila ubaguzi hakuna ukabila.
Bila ubaguzi hakuna dola na shilingi.
Bila ubaguzi hakuna maskini na tajiri.
Bila ubaguzi hakuna ukabila.
Bila ubaguzi hakuna uzungu,uarabu ,uafrika na uchina.
Bila ubaguzi hakuna ufupi na urefu,unene na wembamba n.k.
Bila ubaguzi hakuna tamaa.
Bila ubaguzi hakuna kuuana.
Bila ubaguzi hakuna kulogana.
Bila ubaguzi hakuna ushetani.
Bila ubaguzi hakuna ubaya.
Bila ubaguzi hakuna usomi.
Bila ubaguzi hakuna neno haki za wanawake bali ni haki za binadamu.
Bila ubaguzi hakuna magereza.
Bila ubaguzi hakuna umaskini.
Bila ubaguzi hakuna uchaguzi.
Bila ubaguzi hakuna CCM.
Bila ubaguzi hakuna wizi wa kura.
Bila ubaguzi hakuna ufisadi.
Bila Ubaguzi hakuna serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ingekua ni serikali moja.
Bila ubaguzi hakuna vurugu za wakulima na wafugaji.
Bila ubaguzi hakuna kuwahamisha wamasai Loliondo na kuwaacha Waarabu ,wangebaki pamoja.
Siasa za Dunia ni siasa za kibaguzi ama kati ya Watawala na watawaliwa au vyama na vyama,au dini na dini au nchi na nchi au matajiri na maskini.
Bila ubaguzi hakuna nichagueni mimi ni rais Mwanamke. Ni Mwanamke mwenzenu ,ni mama yenu.
Bila ubaguzi hakuba tofauti kuuuubwa ya mishahara ya watumishi wa umma.
Bila ubaguzi hakuna misafara ya magari mia moja ya msafara wa raisi kuzindua vyoo vya mashimo na kisima cha maji wakati Mungu aliyeumba Chemchem ya Zamzam hakuja hata kuiangalia na msururu wa Malaika.
Bila Ubaguzi hakuna neno "Mheshimiwa".
Bila ubaguzi hakuna madaraja ya wasomi. Dr.,Profesa n.k.
Bila ubaguzi ubaguzi hakuna ushindani.
Bila ubaguzi hakuna Passport.
Bila ubaguzi hakuna viza.
Bila ubaguzi hakuna Miji mitakatifu na isiyo mitakatifu.(Maka ,madina,Yerusalemu,Vatikani)
Bila ubaguzi hakuna kuteka watu na biashara ya kuuza binadamu.
Ubaguzi ni tafsiri ya maendeleo katika ubepari ,ukoloni na ukoloni mambo leo.
Ubaguzi ni mzazi wa utumwa, ubepari.
Ubepari ni unyama.
Ubaguzi ni ushindi kwa Mabepari(Wazungu na Waarabu na wahindi) dhidi ya umoja wa Waafrika.
Wazungu ,waarabu na wahindi ni wazazi wa ubaguzi duniani.
Kukataa uzungu na uarabu ni kukataa ubaguzi Duniani.