..Donald Trump na watu wake walichallenge matokeo ktk vyombo husika na madai yao yalitupiliwa mbali.
..hata aliyekuwa Mwanasheria Mkuu ktk serikali ya Donald Trump amesisitiza mara kadhaa kwamba madai kuwa Trump aliibiwa uchaguzi sio ya kweli.
..pamoja na ukweli huo bado Trump aliwashawishi wafuasi wake wakafanye fujo ili bunge la Marekani lisithibitishe matokeo ya ushindi wa Joe Biden.
..mpaka hapo utaona kwamba Donald Trump ni mwanasiasa muongo na mchochezi.
..Kuhusu UTAPELI wa Donald Trump naomba nikukumbushe kuhusu mradi wake wa " Trump University . "
..Je, unakumbuka nini kilitokea kwa wananchi wa kawaida waliojiunga na Trump University?
..Unakumbuka Senator Marco Rubio alisema nini kuhusu Donald Trump na hiyo " university "?
..Wamarekani walikuwa disappointed na political class na walitaka mabadiliko. Tatizo waliyatafuta mabadiliko kwa Donald Trump mtu ambaye hakuwa sahihi. Wamarekani walikuwa too disappointed na viongozi wao / wanasiasa kiasi kwamba walikuwa tayari kufumbia macho mapungufu ya kimaadili ya Donald Trump.
..Sikiliza hapa chini. Donald Trump ni tapeli. Ni bahati mbaya na aibu kwamba alichaguliwa kuwa Raisi. Wakati mwingine wapigakura hufanya MAKOSA.
View: https://m.youtube.com/watch?v=K00ZFy7XM2Q&pp=ygUeTWFyY28gUnViaW8gKyBUcnVtcCBVbml2ZXJzaXR5