Mnatizama lakini CNN Mahojiano ya moja kwa moja ya Mgombea Urais wa Marekani Trump na Waandishi wa Habari Weusi huko Chicago?

Mnatizama lakini CNN Mahojiano ya moja kwa moja ya Mgombea Urais wa Marekani Trump na Waandishi wa Habari Weusi huko Chicago?

..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.

..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.

..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60.
Kongole Mkongwe kwa kuliona hili,
Binafsi nilimuona Trump kama Kichocheo cha "White Supremacy"
 
Mkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Wazungu wa JF wengi wanatoka Uyole, Tunduma, Ngudu, Kibosho na maeneo mengine hawawezi kukuelewa wapo radhi wale hata kinyesi cha Trump lakini hawawezii kuwakana Wazungu😀
 
Wakikubagua na wewe wabague. Kwanini unalilia kuthaminiwa na race nyingine?

..siamini kwenye itikadi za kubaguana, au kuweka visasi.

..kwa msingi huo nikimuona mtu ni mbaguzi mahali popote nitampinga.
 
Mbona Obama mbona vice president mwanaume ambae ni joe biden na hakuitwa mbaguzi mkuu.

Bush pia alikuwa na VP mwanaume mbona hakuitwa mbaguzi mkuu.

Weka ushahidi kwamba Maraisi wote waliopita walichagua ma VP wenye asiili ya kilatino,unao huo ushahidi kwamba maraisi wote waliopita walifanya hivyo ?

Wapi ama rejea gani inayosema kwamba usipochagua VP mlatino basi unakuwa mbaguzi?

Utaratibu huu ulikuwepo kwa maraisi wote waliotangulia wa marekani ?

Mbona bush VP wake alikuwa mzungu ?

mpaka sasa mkuu haujaweka hoja za msingi kuonesha ubaguzi ni upi bali naona kama wewe ni mtu unayejadili kwa kuongozwa na chuki.

..kwa kumchagua Obama Marekani iliingia ktk zama mpya za race relationship baina ya watu wake.

..Zama za Raisi na Makamu kuwa wazungu wanaume zilipaswa kuwa historia baada ya Uraisi wa Obama.

..Trump alipaswa kuchagua Makamu mwanamke, au mweusi, au Latino, ili kuonyesha mfano kuwa Marekani inasonga mbele badala ya kurudi nyuma.
 
Waliomchagua obama ndio hao hao walimcjagua trump,kwa sababu obama hakuchaguliwa kwa sababu ya rangi yake.

Na wala trump hakuchaguliwa kwa sababu ya rangi yake,kama unakataa leta uthibitisho.

Wala biden hakuchaguliwa kwa sababu ya Rangi yake,kama unakataa pia lete uthibitisho.
Zama za Raisi na Makamu kuwa wazungu wanaume zilipaswa kuwa historia baada ya Uraisi wa Obama.
Haya ni mawazo yako wewe yanayotokana na chuki kwa huyu bwana trump hivyo unatafuta sababu ilimradi tu usikose cha kukosoa.

BUshi alikuwa mzungu,na maraisi waliopita kibao ndio hivyo so kumtupia lawama trump inabaki kuwa madai hewa ambayo tulitakiwa kuyasikia nyakati hata za kina bush
Trump alipaswa kuchagua Makamu mwanamke, au mweusi, au Latino, ili kuonyesha mfano kuwa Marekani inasonga mbele badala ya kurudi nyuma.
Hoja hii nilishaijibu.

Hivi pale marekani kuna sera yoyote inayosema kwamba kukiwa na balance ya rangi katika uongozi ndio kusonga mbele ?
 
..ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.

..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.

..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.

..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.
mtu mweusi ndiye tatizo. acha asemwe! black race is a cursed race. wewe hujioni? am not a black, but a Hebrew. Gal 3:29
 
Watu walio lelewa na wazazi wa kurithi kila kitu kwao ni matusi, Mtu anataja sifa yako wewe mweusi na ninmweusi kweli unalia eti umebaguliwa
 
..siamini kwenye itikadi za kubaguana, au kuweka visasi.

..kwa msingi huo nikimuona mtu ni mbaguzi mahali popote nitampinga.
Basi usilazimishe imani yako ifuatwe na wengine, kama hauamini katika ubaguzi basi mtendee mema kila mtu na hakuna atakaekusumbua vile vile ukiona mtu ambae ni mbaguzi nawe usimsumbue mwache na imani yake.
 
Sikuzote huyo anafahamika na anatajwa kuwa ana asili ya Kihindi

Alipoteuliwa na chama chake kugombea uraisi ndio Democratics wakaanza kauli ya "a black woman"

Ndio hoja ya Trump ilipo

Siasa ni mchezo wa hovyo Democratics wanataka watembee na upepo wa black woman
 
Katika mkutano wa kampeni wa Trump-Vance 2024 huko Atlanta, Georgia, Marekani mwanaharakati anayemuunga mkono Trump Michaelah Montgomery alimsuta Makamu wa Rais Kamala Harris na Wanademokrasia.....

3 August 2024

At a Trump-Vance 2024 campaign rally in Atlanta, Georgia, pro-Trump activist Michaelah Montgomery slammed Vice President Kamala Harris and Democrats.

View: https://m.youtube.com/watch?v=MkjoS62GEkU&pp=ygUVTWljaGFlbGFoIE1vbnRnb21lcnkg
 
03 August 2024
Atlanta, Georgia

CHAMA CHA REPUBLICAN KINAENDELEA NA KAMPENI ZA USHAWISHI KUELEKEA 2024

Mkutano wa kampeni wa JD Vance mgombea mweza kwa tiketi ya chama cha Republican katika jimbo la Georgia.

Idadi ya Waamerika Weusi au Waafrika huko Georgia ni 30.6% ya idadi ya watu, zaidi ya watu milioni 3. Taarifa hii ni kutoka kwa Sensa ya Marekani 2020.

Georgia ni jimbo la pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wamarekani weusi nchini Marekani ...

03 August 2024
Atlanta,Georgia US

Republican Vice Presidential nominee Sen. JD Vance (R-OH) delivered remarks at a Trump-Vance 2024 campaign rally in Atlanta, Georgia on Saturday.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ta5nAtH5K5Y
The Black or African American population in Georgia is 30.6% of the population, just over 3 million people. This information is from the US Census 2020.

Georgia has the second largest African American...
 
..ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.

..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.

..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.

..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.
Kwani ni uongo kwamba nchi zetu ni shit holes?

Kiongozi anaposema kwa kiburi kuwa hawezi kusikiliza waliompigia kura na kwamba amejigeuza Chura kiziwi kwa kelele za waliomuajiri (wapiga kura). Hiyo siyo dalili kwamba nchi anayoiongoza ni Shit hole kweli kweli?
 
..Trump angekuwa sio mbaguzi angefanya mojawapo kati ya haya.

1. Angechagua VP mwanamke.

2. Angechagua VP mwenye asili ya Kilatino.

3. Angechagua VP mmarekani mweusi.

..Ticket ya Uraisi wa Marekani inatakiwa itume ujumbe wa kuwaunganisha Wamarekani, na sio ujumbe kwamba Marekani ni nchi ya wanaume weupe wenye chuki na wabaguzi.
Halafu hayo mambo ya Feminism hata mimi siyapendi kinyama. Maana bila hayo Mama Mzenj asingekuwa VP na wala asingekuwa kumalizia awamu iliyoachwa.

Mimi Ofisini kwangu mambo ya Gender Balance huwa siyazingatii kabisa.
 
Kwani ni uongo kwamba nchi zetu ni shit holes?

Kiongozi anaposema kwa kiburi kuwa hawezi kusikiliza waliompigia kura na kwamba amejigeuza Chura kiziwi kwa kelele za waliomuajiri (wapiga kura). Hiyo siyo dalili kwamba nchi anayoiongoza ni Shit hole kweli kweli?

..Je, Trump alipoita " shit hole " countries alikuwa na maana hiyo unayoisema wewe, au aliongozwa na hulka yake ya ubaguzi?
 
..Je, Trump alipoita " shit hole " countries alikuwa na maana hiyo unayoisema wewe, au aliongozwa na hulka yake ya ubaguzi?
Alikuwa na maana ninayoisema. Na ndo maana alisema 'baadhi' ya nchi za Africa na Asia ni shithole countries. Maana yake siyo zote ni shit holes.
 
Kazi yenu anaijua kupaka rangi kwenye Kuta ,michoro mbalimbali na kugegedana mabingwa maeneo hayo.....nikimtizama trump hua nachekasana ,mtu wa makavu
 
Back
Top Bottom