Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine.
Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa kuwa waziri mkuu huyo alikuwepo Moscow siku ambayo operesheni hiyo ya kijeshi ilizinduliwa (siku ya kuvamiwa Ukraine).
Waziri Mkuu huyo amesema nchi za Ulaya ziachane na kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kuwa nyutro (kutochukua upande wowote) ktk jambo hilo.
Hivi mnatuchukuliaje? Watumwa wenu? Hata tuwe twapaswa kufanya chochote mnachokizungumza? Bwana Imran Khan alizungumza kwenye kongamano la kisiasa.
Maneno hayo ya Waziri Mkuu yanafuatia barua iliyoandikwa na jumuia ya Ulaya na kupatiwa mabalozi wa jumuia hiyo kuiwasilisha ktk serikali ya Pakistan ikiitaka Pakistan kuilaani Russia. Waziri mkuu huyo akawauliza EU mbona hamjawapelekea barua kama hiyo India? Ikiwa hata India nao wameamua kutoilaani Russia kama tulivyofanya sisi (Pakistan)?
Pichani: Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan
===
March 7, 2022
What do you consider us? Your slaves?' Pakistani PM Khan lashes out at Europe over Ukraine stance
Pakistan’s Prime Minister Imran Khan has lashed out at EU criticism of Islamabad for its refusal to speak out against Russia's invasion of Ukraine.
Pakistan has been under growing pressure to condemn Moscow's brutal assault on Ukraine with Khan in the Russian capital when the invasion was launched.
He said that European countries should stop their criticism of Pakistan over its decision to remain 'neutral' on the matter.
"What do you consider us? Your slaves? That we should do whatever you say?" he said at a political rally.
His comments were in response to a 1 March letter by 22 Pakistan-based foreign envoys urging Islamabad to reprimand Moscow for its brutal invasion of Ukraine before a vote in the UN General Assembly (UNGA) on 2 March.
Pakistan eventually abstained from voting at the UNGA, while the overwhelming majority of countries condemned Moscow's heinous actions against its neighbour.
"I want to ask the European Union ambassadors: Did you write such a letter to India?" Imran Khan said, noting that New Delhi has also not directly condemned Moscow.
english.alaraby.co.uk

'Are we your slaves?' Pakistan PM lashes out against EU
Pakistani PM Imran Khan's comments were in response to foreign pressure pushing Islamabad to criticise Russia's invasion of Ukraine.