"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

"Синьо-жовтий птах летить високо над Чорним морем!" - 2008 я перекладав слова Пола Маккартні для телетрансляції його концерту на Майдані Незалежності в Києві. Щоправда, МАККА більше співав, ніж говорив. Та ще й чимало говорив українською) Слухайте, думайте Урок української від Пола Маккартні. ЧАС БУТИ РАЗОМ
Sawa kabisa, hiyo 2008 Pakistani ndio alipokea teknolojia ya nuclear kutoka kwa mbabe Putin.
 
Hivi kwanini waafrika weusi wanadhani wapo level moja na waarabu?
Waarabu wako mbali sana kucompare na waafrika.

huo ndio ukweli mchungu na ukubali tu kwamba mwafrika bado yuko chini sana solution ni kuacha kuvuta wengine shimoni bali ni kunyanyuka.
Na hii ndio maana ni ngumu kwa afrika kuendelea kwa akili fupi kama hizi sababu anataka wengine wawe kama yeye na hakubali ukweli kuwa yuko alone.

Ukweli ni kwamba uko level ya chini sana mkuu kwenye kila kitu ukijilinganisha na hao arabs kwenye Uchumi, Technology, Elimu na Maendeleo ya nchi kiujumla.
And let me guess wewe lazima utakuwa mkristo maana wengi ndio mna mindsets kama hizi.

Tell me I'm wrong.
naunga mkono hoja[emoji122][emoji122][emoji122]
 
"Синьо-жовтий птах летить високо над Чорним морем!" - 2008 я перекладав слова Пола Маккартні для телетрансляції його концерту на Майдані Незалежності в Києві. Щоправда, МАККА більше співав, ніж говорив. Та ще й чимало говорив українською) Слухайте, думайте Урок української від Пола Маккартні. ЧАС БУТИ РАЗОМ
Uko sahihi mkuu,hata mimi nilitaka kusema hivyo,hawa jamaa ni jau sana.
 
Kwa asilimia kadhaa sioni umuhimu wa africa kujihusisha na upuuzi. kimsingi nato ni muungano wa kijeshi wa jumuiya ya ulaya mangharibi putin amewahi kusema nato ni muungano wa falsafa za kizamani na hajui kwa nini bado ipo kuwa karibu na nato ni kuwa karibu na kikosi kikubwa cha mauaji uvamizi na machafuko ni halali kwa putin kuwasogeza mbali na nchi yake maovu waliyoyafanya libya , yanayoendelea congo , ethiopia na pengi duniani ni uhaini wa hii nato .
Nato ni wasababishaji wa vurugu na solver kwa kutumia un ushauri wangu africa haina haja ya kutazama mangharibi au mashariki kwa makomunisti suluhisho ni moja tu lile la gadaffi africa kuungana kama nchi moja basi hakuna nguvu kwa kutengana ila kuungana basi lakini kwa kuwa tuna viongozi wabinafsi sana jambo hilo haliwezekani kwa makubaliano ila nguvu na kwa sababu tunapenda mno amani tutasalia hivi

Udumu muungano thabiti wa pan africanism yadumu mawazo ya nkurumah yadumu maono ya muammar .
 
Hao Pakistan wake makomandoo waliingia nchini mwao, wakamuua Osama na kuondoka naye, huku wao wamelala usingizi wala wasijue what happened [emoji23][emoji23][emoji23]
Usichanganye Afghanistan na Pakistan
 
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine.

Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa kuwa waziri mkuu huyo alikuwepo Moscow siku ambayo operesheni hiyo ya kijeshi ilizinduliwa (siku ya kuvamiwa Ukraine).

Waziri Mkuu huyo amesema nchi za Ulaya ziachane na kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kuwa nyutro (kutochukua upande wowote) ktk jambo hilo.

Hivi mnatuchukuliaje? Watumwa wenu? Hata tuwe twapaswa kufanya chochote mnachokizungumza? Bwana Imran Khan alizungumza kwenye kongamano la kisiasa.

Maneno hayo ya Waziri Mkuu yanafuatia barua iliyoandikwa na jumuia ya Ulaya na kupatiwa mabalozi wa jumuia hiyo kuiwasilisha ktk serikali ya Pakistan ikiitaka Pakistan kuilaani Russia. Waziri mkuu huyo akawauliza EU mbona hamjawapelekea barua kama hiyo India? Ikiwa hata India nao wameamua kutoilaani Russia kama tulivyofanya sisi (Pakistan)?

View attachment 2142549
Pichani: Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan

===

March 7, 2022

What do you consider us? Your slaves?' Pakistani PM Khan lashes out at Europe over Ukraine stance

Pakistan’s Prime Minister Imran Khan has lashed out at EU criticism of Islamabad for its refusal to speak out against Russia's invasion of Ukraine.

Pakistan has been under growing pressure to condemn Moscow's brutal assault on Ukraine with Khan in the Russian capital when the invasion was launched.

He said that European countries should stop their criticism of Pakistan over its decision to remain 'neutral' on the matter.

"What do you consider us? Your slaves? That we should do whatever you say?" he said at a political rally.

His comments were in response to a 1 March letter by 22 Pakistan-based foreign envoys urging Islamabad to reprimand Moscow for its brutal invasion of Ukraine before a vote in the UN General Assembly (UNGA) on 2 March.

Pakistan eventually abstained from voting at the UNGA, while the overwhelming majority of countries condemned Moscow's heinous actions against its neighbour.

"I want to ask the European Union ambassadors: Did you write such a letter to India?" Imran Khan said, noting that New Delhi has also not directly condemned Moscow.

Najiuliza hivi hayati Robert Mugabe angekuwa hai alafu apate nafasi ya kuhutubia UN kuhusu huu mgogoro! Sijui angemnenea Russia maneno yapi ya kumpongeza! 😅😂
 
The ONLY reason republicans are backing the Russian oil ban is so they can blame gas prices on Biden in an election year. If they actually gave a shit about Ukraine, they’d have voted to impeach and remove donald when he withheld aid from and extorted Zelenskyy.
Natizama habari mda huu UTV, Evona Kamutu amuhoji mmoja wa watanzania anayeishi Alabama, anadai bei ya mafuta Marekani imepanda karibia mara mbili.
 
Hivi kwanini waafrika weusi wanadhani wapo level moja na waarabu?
Waarabu wako mbali sana kucompare na waafrika.

huo ndio ukweli mchungu na ukubali tu kwamba mwafrika bado yuko chini sana solution ni kuacha kuvuta wengine shimoni bali ni kunyanyuka.
Na hii ndio maana ni ngumu kwa afrika kuendelea kwa akili fupi kama hizi sababu anataka wengine wawe kama yeye na hakubali ukweli kuwa yuko alone.

Ukweli ni kwamba uko level ya chini sana mkuu kwenye kila kitu ukijilinganisha na hao arabs kwenye Uchumi, Technology, Elimu na Maendeleo ya nchi kiujumla.
And let me guess wewe lazima utakuwa mkristo maana wengi ndio mna mindsets kama hizi.

Tell me I'm wrong.
We ni mpumbavu kwelikweli

How do you relate some ones stupidity na dini yake.

Yani ukristo unamfanyaje mtuawe mjinga kutotambua kwamba pakistan ni moja kati most powerful military duniani.

Ingawa hio list yako ni useless na haina ukweli wowote

Yani kwaajili zako pakistan amezidi uturuki kijeshi ?? Au Brazil imeizidi uturuki kijeshi??
 
Does it matter snowflake?
 
I'm asking you, does it matter little emotional snowflake?
Do you think I care?
 
I also dont care!!! idiot

Sometimes ficha tu ur stupidity.

Zero brain!!!
Right, first come down and grab a glass of water then take a heavy breath.
Then ask yourself: what is wrong with me and why am I so stupid today?
After that allow me to show you why.

So I'm gonna ask you.
If you don't care then why you quoted and insult me antecedently?
 
Back
Top Bottom